lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,218
- 2,763
Yaan kuna watu waliumbwa kukatisha wenzao tamaa..usiwaogope
Wengine wana assume kila mtu yupo kwa trumpYaan kuna watu waliumbwa kukatisha wenzao tamaa..usiwaogope
Asanten kwa mchango wenu wadauInalipa mkuu , jaribu kutafuta location mzur ambapo utapata wateja wakutosha , hakika hutajuta kuwa na kaul mzur na wateja , kwa Sikh za mwanzo jaribu kuweka viaz vingi kidogo ila kivuta wateja mfno mtu kataka mshikaki mpe ba viaza kidogo nk , bila kusahau usafi binafsi na wa eneo hilo unalo fanyia kazi ni vitu muhimu sana . usisahau kupata japo glass 1 ya maziwa fresh jion baada ya kumaliza kazi .Kazi njema mkuu
Nzur ukiisimamiaMmi nitaka kuanza biashara ya kuchoma chips je inalipa na kama inalipa ni kwa mfumo au vigezo vipi?, pia kama hailipi naombeni mchanganuo na mawazo yenu wadau, lakini biashara hiyo nataka kuifanyia dar.
kwanini umeachana nayo mkuu?Iyo nimetoka kuiacha tar 28 mwez uliopita.....vyombo vyote ninavyo majiko kabat nk....hii ni kwa moro eneo ni uswaz so sijui kwenye mchanganyiko wa wtu...kama IPO moro njoo nikuuzie vyombo bhana
Sawawanakuja wanaume wa Dar mkuu
Sidhan maana huwa naenda kumsimamia mkuu ila npo mkoan au ndo sababu? Au ndo mwanzo maan sielewi.Duh!! Anakuchanga la macho nini!??
Mbona nasikia huo ujasiliamali upo vizuri sana!
Punguza kipimo uza sahani shilling 500 utapiga pesa mpaka ushangae.Wadau naomben mnisaidia nimefungua kasehem kwaajili ya kuuza chipsi na huu ndo mwanzo yaani naelekea kukata tamaa maana kila siku nakula loss na nilikuwa nimeweka mtu nakosa hata pesa ya kumlipa em nisaidieni nifanyeje ili niikuze hiyo biashara? Maana wateja nnao wapata niwachipsi kavu tu hasa hata faida ikija nikidogo au kwakuwa ndo mwanzo au nifanyeje ili nikuze biashara yangu.
atakuwaa anampiga changa kwa kweliiDuh!! Anakuchanga la macho nini!??
Mbona nasikia huo ujasiliamali upo vizuri sana!
Sidhan maana huwa naenda kumsimamia mkuu ila npo mkoan au ndo sababu? Au ndo mwanzo maan sielewi.