Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Mmi nitaka kuanza biashara ya kuchoma chips je inalipa na kama inalipa ni kwa mfumo au vigezo vipi?, pia kama hailipi naombeni mchanganuo na mawazo yenu wadau, lakini biashara hiyo nataka kuifanyia dar.
 
  • biashara zote zinalipa ndio maana watu wanazifanya.
  • ila sio biashara zote zitalipa mahali popote.

kuna vitu vingi sana vya kuviangalia ili uweze kujua kama biashara italipa au la.
kuna mtu atakuja hapa na kusema biashara ya chipsi inalipa, na kuna mwingine atakuja kusema hailipi.

jambo la msingi ni kufanya utafiti kwenye hiyo location (mahali) ambapo unataka kuanzisha biashara, ukisema Dar bado hujawa specific. vitu vya kuzingatia katika kutafuta location ni
  • Target customer base. yaani wale wateja unaowalenga kuwahudumia, je wanatosheleza kuingiza mapato ambayo yatapelekea upate faida?
jambo lingine ni kujua gharama za uendeshaji.
  • kama utaona gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko mapato utayopata maana yake hiyo biashara itakua inatengeza hasara.
  • ila mara nyingi biashara mpya hutengeneza hasara kwa muda fulani kabla ya kuanza kutengeza faida, hivyo piga mahesabu yako vizuri.
nakutakia kila kheri katika biashara yako.
 
Inalipa mkuu , jaribu kutafuta location mzur ambapo utapata wateja wakutosha , hakika hutajuta kuwa na kaul mzur na wateja , kwa Sikh za mwanzo jaribu kuweka viaz vingi kidogo ila kivuta wateja mfno mtu kataka mshikaki mpe ba viaza kidogo nk , bila kusahau usafi binafsi na wa eneo hilo unalo fanyia kazi ni vitu muhimu sana . usisahau kupata japo glass 1 ya maziwa fresh jion baada ya kumaliza kazi .Kazi njema mkuu
 
Asanten kwa mchango wenu wadau
 
Location sawa, customer care nzuri sawa,usafi sawa etc etc kama walivyoshauri wadau

Mimi nataka kusema kuwa usisahau ubora na hapa ndio utakapowashikia wateja

Jaribu kuwa mbunifu utengeneze chips nzuri na zenye vikorombwezo vizuri hakika wateja watahamia kwako

Mfano:pale matairi(njia ya kwenda Masaki) kuna mdau wa kuitwa Makamba, chips kavu yake anaiuza buku mbili ila ukila pale lazima utarudi maana anazikata ndogo ndogo na zinaiva vizuri plus salad, mayonnaise,ukwaju tomato chilli na udambwi dambwi mwingine mwingi tu na of course ana wateja wengi Sana

Mwingine pale Kinondoni studio anaitwa My weather nae ana chips nzuri kinyama Yani

Kumbuka wewe na washindani wako mnagombea wateja wale wale sio kwamba kila mtu ana wake no
 
Mmi nitaka kuanza biashara ya kuchoma chips je inalipa na kama inalipa ni kwa mfumo au vigezo vipi?, pia kama hailipi naombeni mchanganuo na mawazo yenu wadau, lakini biashara hiyo nataka kuifanyia dar.
Nzur ukiisimamia
 
Iyo nimetoka kuiacha tar 28 mwez uliopita.....vyombo vyote ninavyo majiko kabat nk....hii ni kwa moro eneo ni uswaz so sijui kwenye mchanganyiko wa wtu...kama IPO moro njoo nikuuzie vyombo bhana
 
Wadau naomben mnisaidia nimefungua kasehem kwaajili ya kuuza chipsi na huu ndo mwanzo yaani naelekea kukata tamaa maana kila siku nakula loss na nilikuwa nimeweka mtu nakosa hata pesa ya kumlipa em nisaidieni nifanyeje ili niikuze hiyo biashara? Maana wateja nnao wapata niwachipsi kavu tu hasa hata faida ikija nikidogo au kwakuwa ndo mwanzo au nifanyeje ili nikuze biashara yangu.
 
Duh!! Anakuchanga la macho nini!??

Mbona nasikia huo ujasiliamali upo vizuri sana!
 
Wadau naomben mnisaidia nimefungua kasehem kwaajili ya kuuza chipsi na huu ndo mwanzo yaani naelekea kukata tamaa maana kila siku nakula loss na nilikuwa nimeweka mtu nakosa hata pesa ya kumlipa em nisaidieni nifanyeje ili niikuze hiyo biashara? Maana wateja nnao wapata niwachipsi kavu tu hasa hata faida ikija nikidogo au kwakuwa ndo mwanzo au nifanyeje ili nikuze biashara yangu.
Punguza kipimo uza sahani shilling 500 utapiga pesa mpaka ushangae.

Tafuta mtu wa kukufundisha kutengeneza chachandu hasa ya mbilimbi weka ukwaju na mayonaise halafu rudi hapa utowe mrejesho.
 
Sidhan maana huwa naenda kumsimamia mkuu ila npo mkoan au ndo sababu? Au ndo mwanzo maan sielewi.

Jitathimini kwa kuangalia kipimo cha iyo Chips na nivizuri ukawadadisi wakaanga Chips wengine..

Nina mashuhuda wanasema iyo biashara inalipa sasa nashangaa wewe unalia loss tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom