yap ipo mkuuMkuu kwanza nikupongeze kwa harakatii unazozifanya mana huwa naziona thread zako nyingii ukiomba ushauri wa biashara....vilee na ilee saloon ipoooo bado...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
yap ipo mkuuMkuu kwanza nikupongeze kwa harakatii unazozifanya mana huwa naziona thread zako nyingii ukiomba ushauri wa biashara....vilee na ilee saloon ipoooo bado...???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini inakuwa hivi mkuu naomba nijuze tafadhaliBiashara ya Chipsi ina kanuni zake mfano ijumaa,jumamosi,jumapili na jumatatu ni siku za biashara ila jumanne na jumatano ni mbaya na alhamisi ni siku ya majanga upende usipende kwahiyo kuna siku inakubidi uwe tayari Ku break even na sio kupata faida
Mkuu uko vizuri sanaViti au benchi za kukalia wateja,Visu vya kumenyea viazi,Ndoo au dumu la kuhifadhia maji,Mkaa,n.k.
Hawa watu wa sampuli hii ndio wale wale ambao wanataka kila kitu kwao kifanyike kwa malipo wakati kuna vitu unaweza share bure na wala isikugharimu kitu sasa hapo anataka akampige mtu kitu kwa kujifanya ana akili za MUNGU ambazo anatakiwa ampe huyo bi dada kumbe na yeye mganga njaa tu anatafuta pa kupiga ili aishi mjini...... Aseme hapa uone kama sio ushauri hewaMkuu Baraka Rabson .....
sidhani kama ni busara kumwita PM mtu aliyeomba ushauri Public, kama unatoa msaada toa hapa ili watu wengine waweze kunufaika pia. Kumbuka huyu ni mwakilishi tu, wapo weengi wanafuatialia huu Uzi na wana Cash , tatizo ni wazo la biashara,....Kama hutajali elezea hapa.
Kabisa na ndicho nilichosema hapo juu......hii ndio ile sampuli ya misheni town ambao wanaidea za biashara na maisha ila cha ajabu wanakaa wakisubiri kushauri wengine inamaana hawana mbele wala nyumaPeleka njaa zako huko, na minamba ako, ye kaomba ushaur hapa kwa faida yake yy na wengne pia, mambo ya kuanza muita kwenye ofis ako c ndo kumuibia huko? Nyie mnakula pesa za watu hata wazo la maana hammpi, kma wajiamini shusha nondo hapa watu wapime
Habarini wana-jf.
Nahitaji kufanya biashara ya chips ya kisasa hapa Dar, lakini nahitaji mtu wa kuungana naye ili tuunganishe akili na mitaji maana umoja ni nguvu.
Vigezo; Awe mwaminifu, aliye tayari kuchapakazi mzoefu wa biashara hii hasa kukaanga, awe anajua maeneo ambayo biashara yetu inaweza kufanya vizuri na hatimaye tukaitanua na kufungua frem zingine.
Asilimia 90 ya vifaa nimekwishanunua. Mpaka sasa nilichobaki ni kupata frem, kuilipia na pesa za kuanzia yaaani kununulia vitu, meza, viazi, Mafuta, kuku, samaki na vitu vidogovidogo. Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0655-535593
mkuu m nashida na ya kisasaMkuu vipi tufanye mpango, niwe nakuletea mayai ya kuku wa kienyeji.
Njoo pm tuzungumze ndgu.