Huzipati kwenye PDF hii ni totally elimu ya mtaa. Elimu inayopatikana kwa experience na kuwa na kiu ya kujifunza. Elimu iliyowatoa darasa la 7 wengi wawe mamilionea bila kusoma pdf.
Tuendelee kujifunza. Juzi kwa mtaji wa elfu 60 nimempa kazi dogo mmoja kwa sharti la kugawana faida ambapo daily anantumia 15 Kama net profit yangu na yeye ajilipe hulo huko. It's insane! Nataka nimultiply hii idea kwa vijana 15 hapa Dar. After 4 weeks nitakuwa nimemaliza kazi ya kuwasimika sehemu mbalimbali za Dar.
Show inaanza Sasa......
Kuna dogo ameniambia kwa elfu 70 kila siku ananipa 15... Daaah! Hiyo ndo kazi anayoifanya kila siku. Uhakika wa kunipa 15K kwa siku dogo anasema Ni lazma.Hahahaha mkuu hizo ndio ideas nazitafuta.
Unajua mimi hizi hela laki laki huwa nazichezea tu zinapukutika tu nashindwa pa kuwekeza.
Kuna dogo ameniambia kwa elfu 70 kila siku ananipa 15... Daaah! Hiyo ndo kazi anayoifanya kila siku. Uhakika wa kunipa 15K kwa siku dogo anasema Ni lazma.
Kuna dogo ameniambia kwa elfu 70 kila siku ananipa 15... Daaah! Hiyo ndo kazi anayoifanya kila siku. Uhakika wa kunipa 15K kwa siku dogo anasema Ni lazma.
Kuna mechanism na taratibu za kumkabidhi mtu kazi. Nimemfanyia vetting na nimejiridhisha bila mashaka dogo anaijua hiyo kazi kuliko Mimi.Yaani wewe unampatia ela yako ili akuletee 15 kila siku? Je amekuambia anakwenda kufanya kazi gani aweze kuingiza hicho kiasi na yeye maisha yaende.
Shetta anafanya mziki for fun ila pesa za shetta na mabalaa yote anayoyafanya🖒🖒🖒umeigusa kabisa business yangu na mwanangu Zero IQ hongera mleta mada
Nimeifanya hii business since 2015 almost ulichoongea ni ukweli 98%
Ila nili copy hii idea kwa msanii @SHETTA
Nilimskia anasema yeye ana vibanda 10 vya chips hapa mjini
Mi nkasema ngoja nitest nikaanza maeneo ya kawe ukwamani
Hakika.
Inawezekan kabisaaMkuu unapokuwa na vibanda 10 vya chipsi unawezaje kuvisimamia vyote kwa ufanisi?
Na je kama nahitaji kuanzisha hizo biashara lakini muda wangu ni mchache nawezaje kusimamia na kuhakikisha hakuna wizi au upotevu wa pesa unaoweza kujitokeza?
Nilichogundua ukitaka upate profit nzuri kwa kazi hizi za multiply Basi wewe wape kazi afu kaa siku kadhaa ujue flow ya business ikoje then waambie wawe wanakupa elfu 25 daily na wao wajilipe na kulipia pango kwa hela inayobaki.Inawezekan kabisaa
Unaweza ajiri mtu kwa ajili ya kuchukua pesa na kushika mauzo kw kila kibanda
mf mm ninavoanza niliajiri watu wawili ke 1 na me 1 kazi ya kukaa na pesa nilimpa huyo ke na wiki ya kwanza nilishinda palepele kujua flow ya business
Nilipokuwa bize nilihakikisha kila jioni napitia bandani kuangalia business inaendeleaje
Sasa ukiwa na vibanda 10 unaweza ajiri mtu wa kusimamia hivyo vibanda vyote kazi yake yy ni kuzungukia kila kibanda
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Safi.Nilichogundua ukitaka upate profit nzuri kwa kazi hizi za multiply Basi wewe wape kazi afu kaa siku kadhaa ujue flow ya business ikoje then waambie wawe wanakupa elfu 25 daily na wao wajilipe na kulipia pango kwa hela inayobaki.
Then wewe utausika tu kwenye ukarabati wa ofisi yako in case ukitokea ukarabati. Utaona watakavyojituma kuincrease profit ili wao wale Cha juu zaidi but na wewe unakuwa safe sababu itakuchukua muda mchache kurudisha mtaji wako na kuanza kula faida.
Waswahili walisema "mchawi mpe mwanao akulelee" kamwe hawezi kumloga sababu anajua yeye ndo kakabidhiwa.
Wape kazi, wape Uhuru, wape obligation then wait to see magic happen.
Matajiri wengi nilichojifunza wanakua kudelegate power kwa wengine wawatafutie hela then wao wanakaa pale juu kufanya overall management. Imagine bakhresa au Mo wafuatilie biashara zao zote. Wangekufa kwa presha siku moja tu. Coz wana biashara kuanzia Bongo, Zambia, rwanda, Burundi, Kenya, Malawi e.t.c
Trump Ni mfanyabiashara maarufu Yuko ikulu na kila siku makampuni yake ni profitable akiwa hayupo kazini.
There is a noble strategy wanaitumia Hawa wote.
umewezaje kusavaiv mda wote asee.,,??🖒🖒🖒umeigusa kabisa business yangu na mwanangu Zero IQ hongera mleta mada
Nimeifanya hii business since 2015 almost ulichoongea ni ukweli 98%
Ila nili copy hii idea kwa msanii @SHETTA
Nilimskia anasema yeye ana vibanda 10 vya chips hapa mjini
Mi nkasema ngoja nitest nikaanza maeneo ya kawe ukwamani
Hakika.
Umechelewa kulijua hilo mapema ndugu yangu ila kwakua sasa umelifahamu tyr nakuhakikishia upo sehemu sahihi kimkakati.Nilichogundua ukitaka upate profit nzuri kwa kazi hizi za multiply Basi wewe wape kazi afu kaa siku kadhaa ujue flow ya business ikoje then waambie wawe wanakupa elfu 25 daily na wao wajilipe na kulipia pango kwa hela inayobaki.
Then wewe utausika tu kwenye ukarabati wa ofisi yako in case ukitokea ukarabati. Utaona watakavyojituma kuincrease profit ili wao wale Cha juu zaidi but na wewe unakuwa safe sababu itakuchukua muda mchache kurudisha mtaji wako na kuanza kula faida.
Waswahili walisema "mchawi mpe mwanao akulelee" kamwe hawezi kumloga sababu anajua yeye ndo kakabidhiwa.
Wape kazi, wape Uhuru, wape obligation then wait to see magic happen.
Matajiri wengi nilichojifunza wanakua kudelegate power kwa wengine wawatafutie hela then wao wanakaa pale juu kufanya overall management. Imagine bakhresa au Mo wafuatilie biashara zao zote. Wangekufa kwa presha siku moja tu. Coz wana biashara kuanzia Bongo, Zambia, rwanda, Burundi, Kenya, Malawi e.t.c
Trump Ni mfanyabiashara maarufu Yuko ikulu na kila siku makampuni yake ni profitable akiwa hayupo kazini.
There is a noble strategy wanaitumia Hawa wote.
wateja ulikua unapata ila shida ni huoni faida sio?umewezaje kusavaiv mda wote asee.,,??
mm nliwah fungua biashara ya chips pale manzese sinza uzuri.kuna hotel inaitwa vienna hotel,nlifungua kwa pembeni. cha ajabu sasa unakuta nanunua ndoo moja ya viaz,nyama ya mishkak na viungo vingne. ila kufika jion napiga hesabu nakuta either imerud hela ile ile au nmekula shot kabsa.sku ya pili tena nkachukua pesa pemben nkaweka kla ktu mpaka kuku lakn kufika jion napiga hesabu nakuta shoti tena. nlikua mm na jamaa mngne lakn sidhan kama alikua ananiibia mana kuna sku naamua mm ndo npokee pesa zote kwa wateja lakn nakuta yale yale. kiukweli nilitumia mtaji wote mpaka pesa ikakata. nakumbka sku ya mwisho baada ya kuona sasa sna pesa ya kuendelea kuongeza, nkafunga, niliondoka na shilingi elfu 3.
mpaka leo nikikaa huwa najiuliza nlikuwa nakosea wapi ila sjawah kupata jbu.
😂😂😂😂Aisee Siopoaumewezaje kusavaiv mda wote asee.,,??

ndio mkuu wateja walikuepo ila wachache sana mana nlikua nkiuza ndoo MOJA TU. kwa sku na sku nyngne chips znalala. japo hata zle sku ambazo chips zlikuwa znaisha bado nkipiga hesabu nakula shoti.wateja ulikua unapata ila shida ni huoni faida sio?
maana sioni mahali ukisema wateja walikosekana...
kila sku nlikua natoa pesa pemben ili kununua viaz na mahtaji mengne pamoja na kumlipa mfanyakaz 8000 per day (hapo kumbka tunafanya kaz wote but yy jion lazma aondoke na hela). nlijipa moyo kwamba mfanyabiashara unatakiwa kuwa mvumiliv but hela iliniishia nikafunga tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee Siopoa
Mtaji wa ndoo 1 hutakiwi kuwa hata na mfanyakazi mkuukila sku nlikua natoa pesa pemben ili kununua viaz na mahtaji mengne pamoja na kumlipa mfanyakaz 8000 per day (hapo kumbka tunafanya kaz wote but yy jion lazma aondoke na hela). nlijipa moyo kwamba mfanyabiashara unatakiwa kuwa mvumiliv but hela iliniishia nikafunga tu.
Unamlipa 8000 kwa startup business na tena watendaji ni wote mbona naona faida ya 2000 ulikuwa unampa yeye ungemlipa 5000-6000 kwa Startup kwanza hii inaonesha na sehemu nyengine umefeli kimahesabu.Hikila sku nlikua natoa pesa pemben ili kununua viaz na mahtaji mengne pamoja na kumlipa mfanyakaz 8000 per day (hapo kumbka tunafanya kaz wote but yy jion lazma aondoke na hela). nlijipa moyo kwamba mfanyabiashara unatakiwa kuwa mvumiliv but hela iliniishia nikafunga tu.
Hivi mkuu ndoo moja ni sahani ngapi anatoa na yule anaeingiza 200K anaweza akawa anaPush ndoo ngapi.Mtaji wa ndoo 1 hutakiwi kuwa hata na mfanyakazi mkuu
kwann uliweka mfanyakazi biashara changa kiasi hicho?
Kwa biashara yako kilichokuangusha n MATUMIZI yalikua
makubwa kuliko kilichokua kinapatikana,kwa uono wangu.