Biashara ni ngumu jamani!

Biashara ni ngumu jamani!

Elewa sentensi. Usitegemee wapita njia kwenye biashara yako. Jiongeze
Hii naipambania sana boss,naimani mambo yatakaa sawa. Huwa naacha mtu dukani mimi naingia field kutafuta wateja na naona inasaidia,nitajitahidi kuongeza nguvu
 
Elewa sentensi. Usitegemee wapita njia kwenye biashara yako. Jiongeze
Hatari wapita njia jau utafirisika mapema sema marketing mtandaoni nako jau gharama na wateja waoga heri Kusaka wateja maofisini nauchukue bamba zao
 
Mda mwingne mzunguko wa pesa unakua ni mdogo ni suala la kawaida cha msingi ni kumaintain apo apo ulipo usiwaze wala usikubari kushuka wala kupanda jiraidi tu umentain biashara yako zen mambo yakikaa sawa bas utaendelea pale umeishia

Kuna friend wangu ni mchungaji ananiambia waumini wake wanamletea pesa wakiomba hawaombee na awatie baraka ktk biashara zao ā€œ sasa mchungaji ananiambia saiv hali ni ngumu rod pesa akuna na ata nikiwaambia waumini hawanielewi bas mimi nakula pesa zao tu naweka mkono najua kbsa akuna kitu apa
 
Kuna friend wangu ni mchungaji ananiambia waumini wake wanamletea pesa wakiomba hawaombee na awatie baraka ktk biashara zao ā€œ sasa mchungaji ananiambia saiv hali ni ngumu rod pesa akuna na ata nikiwaambia waumini hawanielewi bas mimi nakula pesa zao tu naweka mkono najua kbsa akuna kitu
Mda mwingne mzunguko wa pesa unakua ni mdogo ni suala la kawaida cha msingi ni kumaintain apo apo ulipo usiwaze wala usikubari kushuka wala kupanda jiraidi tu umentain biashara yako zen mambo yakikaa sawa bas utaendelea pale umeishia

Kuna friend wangu ni mchungaji ananiambia waumini wake wanamletea pesa wakiomba hawaombee na awatie baraka ktk biashara zao ā€œ sasa mchungaji ananiambia saiv hali ni ngumu rod pesa akuna na ata nikiwaambia waumini hawanielewi bas mimi nakula pesa zao tu naweka mkono najua kbsa akuna kitu apa
Mbona wenzetu wanapata hela sana halafu sisi wengine hali ngumu
 
Mda mwingne mzunguko wa pesa unakua ni mdogo ni suala la kawaida cha msingi ni kumaintain apo apo ulipo usiwaze wala usikubari kushuka wala kupanda jiraidi tu umentain biashara yako zen mambo yakikaa sawa bas utaendelea pale umeishia

Kuna friend wangu ni mchungaji ananiambia waumini wake wanamletea pesa wakiomba hawaombee na awatie baraka ktk biashara zao ā€œ sasa mchungaji ananiambia saiv hali ni ngumu rod pesa akuna na ata nikiwaambia waumini hawanielewi bas mimi nakula pesa zao tu naweka mkono najua kbsa akuna kitu apa
Ni kweli ndugu yangu.
Lakini kwa upande wa pili mchungaji inabidi awe na msimamo rigid kwa waumini wake,awaambie uhalisia na aseme hataki pesa zao kwa maombi ambayo hayana uhalisia.

Ataendelea kuwa relevant muda mrefu na kuaminiwa zaidi na zaidi kuliko kumuombea mtu baada ya muda mambo yaendelee kuwa magumu zaidi.
Lakini asichoke kuhubiri mazuri
 
si kweli gari mpya kibao, watu wanajenga kuna muda hua naamini mnatusanifu

fullstop, kwishaaa
 
Miezi 4 mbona michache sana ndugu...pambana mwaka hapo, watu wakufahamu etc....then ndo uanze kupigia hesabu za faida au hasara,
 
Back
Top Bottom