Kufanya Biashara na taasisi Changamoto sana, unafilisika kimasihara

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,388
98,864
Habari wakuu,
Moja kwa Moja kwenye mada

KESI YA KWANZA,
Boss anakupigia anahitaji mzigo flani, mnaelewana bei na anataka umfanyie na delivery kabisa. Unapeleka mzigo.

Lengo mzigo ukifika unategemea kulipwa pesa, Mzigo ukifika anasema
"huwezi kulipwa sahivi, hii taasisi Kuna mifumo yake rasmi ya kulipa. Subiri tutakuita uje kuchukua pesa yako" unasema "sawa" .Unasubiri.

Baada ya wiki unapigiwa Simu,
"Kaka njoo uchukue pesa yako"
Unaacha shughuli zako,
Haraka Sana unaenda kwenye taasisi husika kufata pesa yako

Ukifika
badala ya kupewa pesa,
Unapewa karatasi na kuambiwa.
"Andika hapa barua ya maelezo kuomba kulipwa pesa zako"
unaona Haina shida, acha niandike ili nilipwe pesa zangu. Unaandika barua.

Boss anakwambia
"nenda tutakuita uje uchukue pesa zako"

Baada ya siku 3 unapigiwa Simu,
"Njoo ofsini MUDA Huu"
Haraka sana unaacha shughuli zako unakwenda kwenye taasisi, ukijua unaenda kupewa pesa zako.

Ukifika,
"Kaka Hii barua uliandika kienyeji Sana, barua za madai ya fedha zinaandikwa mfumo Huu na Kuna fomu Hii ulitakiwa ujaze na usaini"
Unasema sawa, unachukua karatasi mpya na kuandika barua ya kuomba pesa upya Kisha kujaza fomu ya malipo unasaini na kumkabidhi.

Anakwambia,
"Hapa Safi, nenda tutakuita wiki ijayo uje uchukue pesa zako"

Wiki ijayo inapita kimya, inayofata nayo kimya. Inabidi upige Simu. Wanakwambia
"kuwa na subira, tunasubiri kikao Cha bodi kikae utapigiwa Simu uje uchukue pesa zako"

Baada ya mwezi unapigiwa Tena Simu
"Kaka njoo ofsini mda huu haraka Sana"
Unaacha shughuli zako, unaenda ofisini kwao kichwani ukijua unaenda kulipwa pesa zako.

Ukifika unaambiwa,
"Kaka menejimenti imekaa imesema kiasi ulichoomba ni kikubwa Sana, bajeti inawabana. Wanaomba wakulipe nusu kwanza. Kiasi kingine wape MUDA kidogo" unasema "sawa"

Wanakwambia uandike barua upya ya kuomba kulipwa nusu ya Deni lako, Kisha ujaze fomu mpya ya malipo kulipwa nusu ya Deni lako na kuisaini upya. Unafanya hivyo na kuondoka zako. Wanakwambia "Tutakuita"

Unakaa baada ya wiki unapigiwa simu
"Kaka njoo ofsni, unaitwa"
Kichwani unajua nakwenda kulipwa pesa yangu (nusu Deni) nilioandikia barua na kujazia mifomu.

Ukifika unaambiwa pitiliza Moja kwa mkurugenzi, ukifika mkurugenzi anakwambia
"Kaka nmeletewa faili la Deni lako Hapa, kwa Sasa bajeti inatubana. Utalipwa robo ya Deni lako nyingine tutakumalizia baadae"

Jazba inakupanda Unasema
"sawa mheshimiwa wee nipe tu hiyo pesa niondoke zangu"

Mkurugenzi Anakwambia,
"Mifumo haiendi hivyo kijana, Rudi idara ya manunuzi uandike barua ya kuomba kulipwa na ujaze fomu upya"

Unachoka na kumwambia,
"Inakera Sana boss, Mara ya tatu Sasa naandika barua na kujazishwa fomu afu na pesa zenyewe hata silipwi"

Mkurugenzi Anakwambia,
"Mifumo ya taasisi ndo ilivyo, bila kufuata hizo taratibu huwezi kulipwa"

Unasema "sawa" unaenda kuandika barua upya ya kulipwa robo ya Deni na kujaza fomu za malipo na kuzisaini Kisha kuzikabidhi.

Anakwambia "wiki ijayo utaitwa uje uchukue pesa zako" unasema "sawa"

Wiki ijayo inapita kimya,
Wiki inayofata inafata pia kimya,
Baada ya mwezi unapigiwa Simu.
"Njoo uchukue pesa zako"

Unaacha shughuli zako Unaenda kufata pesa zako, ukifika badala ya pesa unakabidhiwa "CHEQUE".
Unaambiwa
"peleka Hii cheque bank, pesa zako utaingiziwa kwenye account yako"
Unasema "sawa" unawahi chap benki.

Ukifika bank,
Unakabidhi cheque ili wakuingizie pesa, Zaid ya siku mbili pesa haziingii, ukiuliza shida Nini wanakwambia
"Mbona Ni Kawaida kwa mifumo ya malipo ya taasisi, vumilia pesa itaingia"
Siku ya 4 tangu cheque ikabidhiwe ndo pesa yako inaingia kwenye account.

Cha kushangaza,
Unakuta pesa iliyoingia kwenye account Ni pungufu ya pesa uliyoandikia barua na kuijazia fomu.
Unawapigia taasisi vipi imekuaje?
Wanakwambia wasiliana na watu wa benki Hilo liko nje ya uwezo wetu.
Ukiwapigia benki wanakwambia Hapo serikali imekata Kodi Yao 18% maana umefanya Biashara na taasisi.
Dah! Unachoka sana, Kisha unapotezea.

Inabd uwarudie taasisi,
vipi Sasa kuhusu Deni lililobaki?
Wanakwambia
"subir muda wa malipo utakapofika utapigiwa utalipwa" unasema "sawa"

Siku zinakata, haulipwi
Wiki zinakata, hulipwi
Miezi inakata, hulipwi.
Ukiulizia unaambiwa mifumo imefungwa kwa Sasa, subiri mwez ujao.

Mwezi ujao unafika,
Unapigiwa simu "njoo uandike barua na ujaze fomu ili ulipwe Deni lako" unasema "sawa nakuja"
Unafika unakamilisha taratibu unaambiwa subir wiki ijayo utaitwa uchukue cheque yako. Unasema "sawa"

Wiki ijayo unaitwa Tena kwenye taasisi "Boss njoo ofsni Mara Moja"
Ukifika unaambiwa
"bajet inatubana sana kaka,kamati imekaa imepitisha utalipwa nusu ya Deni lako, robo iliyobaki unayotudai utalipwa awamu ijayo ya malipo"
Unasema "sawa"
Anakwambia
"Andika barua Tena ya kuomba kulipwa nusu ya dei lako,Kisha utajaza na fomu upya"
Inakera Sana, utafanyaje Sasa inabdi uandike upya na ujaze fomu upya.
Wanakwambia "subir wiki ijayo utaitwa. unasema "sawa"

Wiki inayofuata unaitwa Tena,
"Kaka unaitwa na boss ofsni Mara Moja" unaacha shughuli zako unaenda ofsini kwao. Ukifka unaambiwa pitiliza kwa mkurugenzi Moja kwa Moja.

Ukifika kwa mkurugenzi unakutana na sura ngeni, jamaa anajitambulisha kua yeye ndio mkurugenzi mpya.
Anaongezea
"Bila shaka Wewe ndio bwana DEEPPOND, nmepitia nyaraka zetu nmeona Wewe ndio ulitusambazia mzigo flani na kuna fomu zako Hapa unatudai"

Unasema "ndio Mimi, nawadai mkuu"

Anaongezea
"Miongoni wa bidhaa ulizotuuzia mwaka Jana, nmeona Kuna bidhaa X, ilikuaje ukatuuzia bidhaa X kwa Bei flani wakati Bidhaa hiyo kwa Bei elekezi ya kipindi hicho ilikuwa Ni bei flani. Na tamko la Serikali lilitamka ulipaswa uuze Bei kikomo ni flani"

Unamjibu,
"Boss tunauza kulingana na tulivyonunua, Bei elekezi iliyokuwepo haikuwa na uhalisia maana mzalishaji alikuwa anatuuzia Bei Hii, ukiweka na usafiri, ushuru n.k mzigo unakufikia dukan kwa Bei Hii. Sasa ukiuza kwa Bei elekezi unapata hasara kabisa hata Bei ulionunulia mzigo hairudi mkuu"

Anakwambia,
"Maelezo yako hayaniingii akilini"

"Nenda Kayalete kwa maandishi ili nikayawasilishe kwenye bodi yakajadiliwe ili tuone kama una uhalali wa kulipwa au lah"

Unamuuliza,
"Sijaelewa, unasema nkafanyeje mkuu?"

Anasema
"Nimesema nenda kaandike barua ya maelezo, ufafanue haya ulosema hapa, Inaonekana wazi nyie ndo wafanyabiashara wajanja wajanja mnayumbisha taasisi kupitisha malipo ya kiuhuni huni. Uongozi wangu siwezi pitisha malipo yoyote yenye walakini. Tekeleza sasa nililokwambia" unasema "sawa"

Kweli unaenda unaandika barua ya maelezo na kuiwasilisha.
Siku ya kikao Cha bodi unaitwa na kuiwasilisha utetezi wako.
Wazee wa bodi wanaukubali utetezi na na unajukishwa kwa barua kuwa utetezi wako umekubaliwa na utalipwa. Ila muda wa kulipwa hawasemi.

Inabd Sasa uanze kukumbushia kulipwa Deni lako, Kila Mara unapiga Simu kuombwa ulipwe pesa yako Hali ya uchumi Ni mbaya.

Majamaa wanakwambia
"Kaka ungelipwa tatizo sio sisi, Wee onana na mkurugenzi ndio mhusika mkuu".

Unawauliza
"Inamaana aliekopa Ni mkurugenzi au Wewe?. Nshachoka bhana nipe pesa zangu"

Anakujibu,
"Kaka tambua haunidai mimi, unaidai taasisi, Mimi mfanyakazi tu. na taassi iko chini ya mkurugenzi. Kwaiyo Deni lako kaonane na mkurugenzi. Sina Cha kukusaidia Mimi" unasema "POA"

Ukifika kwa mkurugenzi Anakwambia
"Natambua unatudai, ila hii taasisi Ina uozo mwingi. Subir kwanza nipokee taarifa ya kamati yangu ya auditing Kisha ndo utalipwa" unasema "sawa"
Kisha unachukua namba ya mkurugenzi kwa ajili ya kumkumbushia.

Basi Kila Mara unampigia,
Anakwambia ripoti bado utajulishwa.
Unapiga Tena Yuko bize hapokei,
Inabd uwapigie Tena wale wale wafanyakaz wake wa chini uulizie Kama auditing ishapita au bado.
Wanakwambia auditing tayari na ripoti anayo mkurugenzi wee onana nae TU.

Basi unaamua kwenda Moja kwa Moja ofsini kwa mkurugenz maana Simu zako hapokei, huenda Yuko bize.
Ukifika anakwambia
"Boss Hii taasisi nmeipokea ikiwa Ina uozo Sana, nashughulikia madeni ya uongozi wangu kwa sasa. Haya madeni mengi ya uongozi wa nyuma Yana kasoro nyingi sana"

Akaongezea
"Bajeti ya mapato yangu ya ndani haikidhi kulipa madeni yenu yalopita, kipaumbele changu kwa sasa Ni madeni ya huu uongozi wangu. Hayo ya kwenu yenye chagamoto
Nmeshayawasilisha ngazi ya juu, huenda mkalipwa na uongozi wa juu moja kwa Moja"

Dah! Unachoka kabisa,
Basi unaanza kuhangaika kuonana na watu wa uongozi wa juu wakusaidie ili ulipwe Deni lako.

Wanakwambia wameshapata taarifa tayar ila mpk itumwe timu ya auditing kwanza ikafanye uhakiki wa uhalali wa madeni yenu kisha ndo mtalipwa. Unasema "sawa"

Basi utasubiri,
Siku zitaenda haulipwi,
Wiki zitaenda haulipwi,
Miezi itaenda haulipwi,
Mwaka na miaka itaenda haulipwi

Kama ndo unaitegemea ufanye mzunguko na bahati mbaya iwe ya rejesho ulikopa benki, ndo tayari ushafilisika kimasihara
 
Wengi wanaofanikiwa kucheza na hizi taasisi wanatoa kitu kidogo.

Au mtu ndani ya ofisi (kama huyo mkurugenzi) anakuwa sehemu ya tenda.

Malipo yangetoka fasta.

Ila binafsi sitakagi kiherehere cha kufanya biashara na Serikali. Lazima ujue kujikombakomba na kujibembeleza wakati mwingine umiliki kadi ya chama kabisa.
 
Biashara na taasisi ni nzuri lakini uwe na godfather yaani kama lugumi lakini tofauti na hapo afadhali ununue mpunga wakati wa mavuno uweke stock utapata faida tofauti na peessure za taasisi uchwara za kiafrika ambazo kuanzia ugavi hadi manunuzi zimeoza na kunuka rushwa ndio maana mambo hayasogei taasisi nyingi zimekaa kitapelitapeli na wengi wamefilisika kisa kutegemea biashara na taasisi tena hasa za umma ndio uozo mtupu
 
Wengi wanaofanikiwa kucheza na hizi taasisi wanatoa kitu kidogo.

Au mtu ndani ya ofisi ( kama huyo mkurugenzi) anakuwa sehemu ya tenda.

Malipo yangetoka fasta.

Ila binafsi sitakagi kuherehere cha kufanya biashara na serikali. Lazima ujue kujikombakomba na kujibembeleza wakati mwingine umiliki kadi ya chama kabisa.
Kiukweli,
Nmekoma Kama Hawana cash kwangu wasije
 
Habari wakuu,
Moja kwa Moja kwenye mada

KESI YA KWANZA,
Boss anakupiga anahitaji mzigo flani,mnaelewana bei na anataka umfanyie na delivery kabisa. Unapeleka mzigo.

Lengo mzgo ukifika unategemea kulipwa pesa, Mzigo ukifika anasema
"huwez kulipwa sahivi, hii taasisi Kuna mifumo yake rasmi ya kulipa. Subir tutakuita uje kuchukua pesa yako" unasema "sawa" .Unasubiri.

Baada ya wiki unapigiwa Simu,
"Kaka njoo uchukue pesa yako"
Unaacha shughuli zako,
Haraka Sana unaenda kwenye taasisi husika kufata pesa yako

Ukifika
badala ya kupewa pesa,
Unapewa karatasi na kuambiwa.
"Andika hapa barua ya maelezo kuomba kulipwa pesa zako"
unaona Haina shida, acha niandike ili nilipwe pesa zangu. Unaandika barua.

Boss anakwambia
"nenda tutakuita uje uchukue pesa zako"

Baada ya siku 3 unapigiwa Simu,
"Njoo ofsini MDA Huu"
Haraka sana unaacha shughuli zako unakwenda kwenye taasisi, ukijua unaenda kupewa pesa zako.

Ukifika,
"Kaka Hii barua uliandika kienyeji Sana, barua za madai ya fedha zinaandikwa mfumo Huu na Kuna fomu Hii ulitakiwa ujaze na usaini"
Unasema sawa, unachukua karatasi mpya na kuandika barua ya kuomba pesa upya Kisha kujaza fomu ya malipo unasaini na kumkabidhi.

Anakwambia,
"Hapa Safi, nenda tutakuita wiki ijayo uje uchukue pesa zako"

Wiki ijayo inapita kimya, inayofata nayo kimya. Inabd upige Simu. Wanakwambia
"kua na subira, tunasubiri kikao Cha bodi kikae utapigiwa Simu uje uchukue pesa zako"

Baada ya mwezi unapigiwa Tena Simu
"Kaka njoo ofsin mda huu haraka Sana"
Unaacha shughuli zako, unaenda ofsn kwao kichwani ukijua unaenda kulipwa pesa zako.

Ukifika unaambiwa,
"Kaka menejimenti imekaa imesema kias ulichoomba Ni kikubwa Sana, bajeti inawabana. Wanaomba wakulipe nusu kwanza. Kias kingine wape MDA kidogo" unasema "sawa"

Wanakwambia uandike barua upya ya kuomba kulipwa nusu ya Deni lako, Kisha ujaze fomu mpya ya malipo kulipwa nusu ya Deni lako na kuisaini upya. Unafanya hivyo na kuondoka zako. Wanakwambia "Tutakuita"

Unakaa baada ya wiki unapigiwa simu
"Kaka njoo ofsni, unaitwa"
Kichwan unajua nakwenda kulipwa pesa yangu (nusu Deni) nilioandikia barua na kujazia mifomu.

Ukifika unaambiwa pitiliza Moja kwa mkurugenzi, ukifika mkurugenzi anakwambia
"Kaka nmeletewa faili la Deni lako Hapa, kwa Sasa bajeti inatubana. Utalipwa robo ya Deni lako nyingine tutakumalizia baadae"

Jazba inakupanda Unasema
"sawa mheshimiwa wee nipe tu hiyo pesa niondoke zangu"

Mkurugenzi Anakwambia,
"Mifumo haiendi hivyo kijana, Rudi idara ya manunuzi uandike barua ya kuomba kulipwa na ujaze fomu upya"

Unachoka na kumwambia,
"Inakera Sana boss, Mara ya tatu Sasa naandika barua na kujazishwa fomu afu na pesa zenyewe hata silipwi"

Mkurugenzi Anakwambia,
"Mifumo ya taasisi ndo ilivyo, bila kufuata hizo taratibu huwezi kulipwa"

Unasema "sawa" unaenda kuandika barua upya ya kulipwa robo ya Deni na kujaza fomu za malipo na kuzisaini Kisha kuzikabidhi.

Anakwambia "wiki ijayo utaitwa uje uchukue pesa zako" unasema "sawa"

Wiki ijayo inapita kimya,
Wiki inayofata inafata pia kimya,
Baada ya mwezi unapigiwa Simu.
"Njoo uchukue pesa zako"

Unaacha shughuli zako Unaenda kufata pesa zako, ukifika badala ya pesa unakabidhiwa "CHEQUE".
Unaambiwa
"peleka Hii cheque bank, pesa zako utaingiziwa kwenye account yako"
Unasema "sawa" unawahi chap benki.

Ukifika bank,
Unakabidhi cheque ili wakuingizie pesa,Zaid ya siku mbili pesa haziingii, ukiuliza shida Nini wanakwambia
"Mbona Ni Kawaida kwa mifumo ya malipo ya taasisi, vumilia pesa itaingia"
Siku ya 4 tangu cheque ikabidhiwe ndo pesa yako inaingia kwenye account.

Cha kushangaza,
Unakuta pesa iliyoingia kwenyw account Ni pungufu ya pesa uliyoandikia barua na kuijazia fomu.
Unawapigia taasisi vipi imekuaje?
Wanakwambia wasiliana na watu wa benki Hilo liko nje ya uwezo wetu.
Ukiwapigia benki wanakwambia Hapo serikali imekata Kodi Yao 18% maana umefanya Biashara na taasisi.
Dah! Unachoka sana, Kisha unapotezea.

Inabd uwarudie taasisi,
vipi Sasa kuhusu Deni lililobaki?
Wanakwambia
"subir muda wa malipo utakapofika utapigiwa utalipwa" unasema "sawa"

Siku zinakata, haulipwi
Wiki zinakata, hulipwi
Miezi inakata, hulipwi.
Ukiulizia unaambiwa mifumo imefungwa kwa Sasa, subir mwez ujao.

Mwezi ujao unafika,
Unapigiwa simu "njoo uandike barua na ujaze fomu ili ulipwe Deni lako" unasema "sawa nakuja"
Unafika unakamilisha taratibu unaambiwa subir wiki ijayo utaitwa uchukue cheque yako. Unasema "sawa"

Wiki ijayo unaitwa Tena kwenye taasisi "Boss njoo ofsni Mara Moja"
Ukifika unaambiwa
"bajet inatubana sana kaka,kamati imekaa imepitisha utalipwa nusu ya Deni lako, robo iliyobaki unayotudai utalipwa awamu ijayo ya malipo"
Unasema "sawa"
Anakwambia
"Andika barua Tena ya kuomba kulipwa nusu ya dei lako,Kisha utajaza na fomu upya"
Inakera Sana, utafanyaje Sasa inabdi uandike upya na ujaze fomu upya.
Wanakwambia "subir wiki ijayo utaitwa. unasema "sawa"

Wiki inayofuata unaitwa Tena,
"Kaka unaitwa na boss ofsni Mara Moja" unaacha shughuli zako unaenda ofsini kwao. Ukifka unaambiwa pitiliza kwa mkurugenzi Moja kwa Moja.

Ukifika kwa mkurugenzi unakutana na sura ngeni, jamaa anajitambulisha kua yeye ndio mkurugenzi mpya.
Anaongezea
"Bila shaka Wewe ndio bwana DEEPPOND, nmepitia nyaraka zetu nmeona Wewe ndio ulitusambazia mzigo flani na kuna fomu zako Hapa unatudai"

Unasema "ndio Mimi, nawadai mkuu"

Anaongezea
"Miongoni wa bidhaa ulizotuuzia mwaka Jana,nmeona Kuna bidhaa X, ilikuaje ukatuuzia bidhaa X kwa Bei flani wakati Bidhaa hiyo kwa Bei elekezi ya kipindi hicho ilikua Ni bei flani. Na tamko la serikali lilitamka ulipaswa uuze Bei kikomo ni flani"

Unamjibu,
"Boss tunauza kulingana na tulivonunua, Bei elekezi iliyokuepo haikua na uhalisia maana mzalishaji alikua anatuuzia Bei Hii, ukiweka na usafiri,ushuru n.k mzigo unakufikia dukan kwa Bei Hii. Sasa ukiuza kwa Bei elekezi unapata hasara kabisa hata Bei ulonunulia mzigo hairudi mkuu"

Anakwambia,
"Maelezo yako hayaniingii akilini"

"Nenda Kayalete kwa maandishi ili nikayawasilishe kwenye bodi yakajadiliwe ili tuone kama una uhalali wa kulipwa au lah"

Unamuuliza,
"Sijaelewa, unasema nkafanyeje mkuu?"

Anasema
"Nimesema nenda kaandike barua ya maelezo, ufafanue haya ulosema hapa, Inaonekana wazi nyie ndo wafanyabiashara wajanja wajanja mnayumbisha taasisi kupitisha malipo ya kiuhuni huni. Uongozi wangu siwez pitisha malipo yyote yenye walakini. Tekeleza sasa nililokwambia" unasema "sawa"

Kweli unaenda unaandika barua ya maelezo na kuiwasilisha.
Siku ya kikao Cha bodi unaitwa na kuiwasilisha utetezi wako.
Wazee wa bodi wanaukubali utetezi na na unajukishwa kwa barua kua utetezi wako umekubaliwa na utalipwa. Ila muda wa kulipwa hawasemi.

Inabd Sasa uanze kukumbushia kulipwa Deni lako, Kila Mara unapiga Simu kuombwa ulipwe pesa yako Hali ya uchumi Ni mbaya.

Majamaa wanakwambia
"Kaka ungelipwa tatiz sio sisi, Wee onana na mkurugenzi ndio mhusika mkuu".

Unawauliza
"Inamaana aliekopa Ni mkurugenzi au Wewe?. Nshachoka bhana nipe pesa zangu"

Anakujibu,
"Kaka tambua haunidai mimi, unaidai taasisi, Mimi mfanyakazi tu. na taassi iko chini ya mkurugenzi. Kwaiyo Deni lako kaonane na mkurugenzi. Sina Cha kukusaidia Mimi" unasema "POA"

Ukifika kwa mkurugenzi Anakwambia
"Natambua unatudai, ila hii taasisi Ina uozo mwingi. Subir kwanza nipokee taarifa ya kamati yangu ya auditing Kisha ndo utalipwa" unasema "sawa"
Kisha unachukua namba ya mkurugenzi kwa ajili ya kumkumbushia.

Basi Kila Mara unampigia,
Anakwambia ripoti bado utajulishwa.
Unapiga Tena Yuko bize hapokei,
Inabd uwapigie Tena wale wale wafanyakaz wake wa chini uulizie Kama auditing ishapita au bado.
Wanakwambia auditing tayari na ripoti anayo mkurugenzi wee onana nae TU.

Basi unaamua kwenda Moja kwa Moja ofsini kwa mkurugenz maana Simu zako hapokei, huenda Yuko bize.
Ukifika anakwambia
"Boss Hii taasisi nmeipokea ikiwa Ina uozo Sana, nashughulikia madeni ya uongozi wangu kwa sasa. Haya madeni mengi ya uongozi wa nyuma Yana kasoro nyingi sana"

Akaongezea
"Bajeti ya mapato yangu ya ndani haikidhi kulipa madeni yenu yalopita, kipaumbele changu kwa sasa Ni madeni ya huu uongozi wangu. Hayo ya kwenu yenye chagamoto
Nmeshayawasilisha ngazi ya juu, huenda mkalipwa na uongozi wa juu moja kwa Moja"

Dah! Unachoka kabisa,
Basi unaanza kuhangaika kuonana na watu wa uongozi wa juu wakusaidie ili ulipwe Deni lako.

Wanakwambia wameshapata taarifa tayar ila mpk itumwe timu ya auditing kwanza ikafanye uhakiki wa uhalali wa madeni yenu kisha ndo mtalipwa. Unasema "sawa"

Basi utasubiri,
Siku zitaenda haulipwi,
Wiki zitaenda haulipwi,
Miezi itaenda haulipwi,
Mwaka na miaka itaenda haulipwi

Kama ndo unaitegemea ufanye mzunguko na bahati mbaya iwe ya rejesho ulikopa benki,Ndo tayar ushafilisika kimasihara
Japo kuna deals nyingi sana huko kwenye taasisi lakini kufanya biashara na Halmashauri za nchi hii ni kujitafutia kufirisika tu.

Mpaka upate tender watu walishashiba watu wengi sana kati kile utakachokipata na chenyewe wanakitaka mkigawane kwenye chain kubwa sana.

Fahamu sheria za Usimamizi wa fedha za umma, sheria ya manunuzi ya umma, sheria za kodi na sheria ya taasisi husika.
 
Yaani umeandika ukweli mtupu na hii ni hali halisi ya kwenye taasisi za Serikali na Halmashauri
 
Yaani hapo yanaandaliwa mazingira ya rushwa kwa kila certificate, ukiridhia kutoa chochote kamwe hawatokusumbua hivo lakini taasisi 95% isipokua labda za kimataifa lakini za ndani hazijanyooka kwenye deals nyingi ndio maana supplier anamultiply bei ya bidhaa hadi mara tano ili afidie muda wa usumbufu atakaopata kipindi cha kuzungushana,
 
Kingine taasisi yoyote walazimishe muwe na terms of payment kisheria na mikataba iwepo na wakichelewa mkataba ueleze wazi penalties itakua labda 75% ya deni hapo watakimbizana kukulipa maana kwenye mkataba utaweka conditions za kukamata mali zao wafidie deni hapo suppliers wengi wangekua safe kuliko watu kwenye taasisi kujifanya miungu watu
 
Back
Top Bottom