Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,588
- 14,533
Serikali inaingilia sana wakulima wa mahindi wanaouza nje nasikia, mara wakataze exports, kodi zisizoeleweka, rushwa etc wakenya wameona isiwe tabuWakenya wamebadili upepo wa soko la wakulima wa mahindi baada ya kuamua kununua mahindi nchini Zambia. Je, ni baada ya zile taarifa kuwa mahindi yanauzwa shambani kabla hayajakauka vizuri na kusababisha (aflatoxins) sumu kuvu?