Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,328
- 4,281
- Thread starter
- #21
Kila jambo likifanyika kwa moyo na kujituma,mafanikio ni dhahiri!
Kabisa no sweat no sweet mkuu.
Kila jambo likifanyika kwa moyo na kujituma,mafanikio ni dhahiri!
Ni kama forex tu nilidhani by 2019 ningekuwa nasukuma Lamborghini au Volkswagen lakini duh! 2026 hii nakomaa na ponchi na nyundo Nyarugusu hapa.
Hii biashara urahisi wake ni kuwa vitu vitatu
1. Shamba lenye maji ya umwagiliaji
2. Zana za kisasa za kilimo
3. Mtaji kiasi
Ukitegemea mvua utakuwa unafanya betting
Kilimo siwezi kusema ni moja kwa moja kwamba ni njia sahihi au si-sahihi ya kuanza nayo lakini unaweza kujaribu kwa kuanza na hatua ndogo ndogo.So kwa wale wanaojitafuta sio njia nzuri ya kujikwamua kwa sababu kwanza mtaji ni mdogo na wanategemea faida ila aweze kuendelea tena.
Hakuna jambo linalokamilika kirahisi rahisi...
Kabisa lo lazima jasho litoke haswaaHakuna jambo linalokamilika kirahisi rahisi...
Umemaliza kila kitu.Biashara na kilimo ni vipawa au vipaji kama ilivyo kucheza Mpira au kuimba Muzik.
Hata muziki una Hela ila sio Kila mtu anaweza kuwa mwanamuziki.
Hakuna sector isiyo na Hela na hakuna sector ni rahisi kupata Hela.
Explore your identity kisha chagua biashara yenye alignment na identify na kipaji chako Kisha kuwa na consistency utafanikiwa.
Wengi mtihani unakuja hapo kwenye self exploration and determination ndio maana ukiambiwa kuuza Nguo Kuna lipa unaenda kuuza Nguo.
Mfano mtu alikuwa Dr,amestaafu anataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi,SI afungue dispensary,duka la madawa yenye fani yake!Umemaliza kila kitu.
Shida wengi wanapenda kudandia biashara za watu wengine kisa kamuona fulani kafanikiwa bila kujipima uwezo wake na kipaji chake na hapo ndipo biashara inapoonekana ngumu kumbe ugumu unakuja kwa sababu kanuni zake hazifuatwi.
Hakuna biashara nzuri wala mbaya ukifuata kanuni zake na kujipima uwezo/kipaji chako.
4. Masoko na namna ya kuuza bila mtu aitwaye dalali. Huyu ni adui namba moja unatakiwa kujua mbinu zao wanazo tumia kukulaghai.
Mfano mtu alikuwa Dr,amestaafu anataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi,SI afungue dispensary,duka la madawa yenye fani yake!
Kilimo kina faida ila sio tz
Kilimo kina faida ila sio tz
Au mwingine alikuwa bwana shamba au mwalimu anastaafu ananunua Lori au coaster daladala ili aanze biashara ya usafirishaji wakati hajui hata bei ya tairi na hajui hata gari inatumia mafuta kiasi gani kwa kilometa 10 hapo akifeli eti ataanza kumtafuta mchawiMfano mtu alikuwa Dr,amestaafu anataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi,SI afungue dispensary,duka la madawa yenye fani yake!
Sahihi mafanikio ni pamoja na information, huwezi anzisha kitu bila kua na full information ndo unaskia kaanzisha biashara imekufa.Au mwingine alikuwa bwana shamba au mwalimu anastaafu ananunua Lori au coaster daladala ili aanze biashara ya usafirishaji wakati hajui hata bei ya tairi na hajui hata gari inatumia mafuta kiasi gani kwa kilometa 10 hapo akifeli eti ataanza kumtafuta mchawi
Ndio inabidi utafute solution yake usiuze kwa mazoea.Kweli mkuu mfano wakulima wa Parachichi Njombe wanaonufaika zaidi ni wale wanopeleka nje ya nchi hasa Wakenya ambao wananunua kwao. Hivyo hivyo kwa Korosho n.k
Madali wanalangua sana wakulima.
1.TaarifaSahihi mafanikio ni pamoja na information, huwezi anzisha kitu bila kua na full information ndo unaskia kaanzisha biashara imekufa.
Wingi wa taarifa ndio urahisi wa jambo.
Wakenya wamebadili upepo wa soko la wakulima wa mahindi baada ya kuamua kununua mahindi nchini Zambia. Je, ni baada ya zile taarifa kuwa mahindi yanauzwa shambani kabla hayajakauka vizuri na kusababisha (aflatoxins) sumu kuvu?Kweli mkuu mfano wakulima wa Parachichi Njombe wanaonufaika zaidi ni wale wanopeleka nje ya nchi hasa Wakenya ambao wananunua kwao. Hivyo hivyo kwa Korosho n.k
Madali wanalangua sana wakulima.
Exactly, uzoefu, mtaji usitegemee mvua (kilimo Cha umwagiliaji) Kuna ndugu yangu alianza zamani sana Sasa ivi ni bilionea.Hii biashara urahisi wake ni kuwa vitu vitatu
1. Shamba lenye maji ya umwagiliaji
2. Zana za kisasa za kilimo
3. Mtaji kiasi
Ukitegemea mvua utakuwa unafanya betting
Kweli MKUUAu mwingine alikuwa bwana shamba au mwalimu anastaafu ananunua Lori au coaster daladala ili aanze biashara ya usafirishaji wakati hajui hata bei ya tairi na hajui hata gari inatumia mafuta kiasi gani kwa kilometa 10 hapo akifeli eti ataanza kumtafuta mchawi