Hivi vitu siyo vya kuvianzishia uzi mkuuLady Jaydee aliwahi kununua la kwake brand new hakutaka used! Na mpaka leo hajafa
Vinavunja matumaini kwa wasafiri wa hapa dunianiKwanini🙇🏿♂
Mkuu uliokoka imekuwaje umemsaliti Mtume wako Malisa?Nahitaji kimoja nitapataje?
Soma hii itakupa faraja kubwa.. Na hutaogopa kufa tena😀Vinavunja matumaini kwa wasafiri wa hapa duniani
MmhNilipita Iringa juzi nikakuta wanauza vitanzi vya kujinyonga ''used''.
Nahitaji kimoja nitapataje?