eddndk
Member
- Dec 12, 2013
- 42
- 16
.... biashara ya kuingia shambani na kulima hailipi hata kidogo.. kama anataka awe anakusanya mazao kijijini na kuyahifadhi mpaka soko likiwa zuri na kwenda kuuza mjini....hatojutiaMatrekta yapo mkuu ila bado hayatoshelezi mahitaji demand ni kubwa mno kipindi cha msimu ndio maana nasema mpaka msimu unaisha uhakika wa kulaza kati ya 18-22m kwa trekta mpya