Bi. harusi

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,639
Yule mkali wa miduara AT kashusha video mpya ya ngoma yake ya bi. harusi.

Furahia.

 
Last edited by a moderator:
Ni nzuri ila me kwa upande wangu naona kama vile maneno mengi kamung'unya,
halafu Bi harusi yaonyesha mswaz.
 
Nampenda phina,phina,phina,
Ila pesa sina
Manyakanga mko wapi leo,mje muamue,
Balaa ugomvi leo,
Nyani Ngabu kataniwa kidogo,anatoa matapishi,
Mamndenyi mama yake bi harusi,
Uko wapi
Nimekuja na zawadi,nataka nimpe bi harusi wangu phina.
 
Last edited by a moderator:
That is only if their mind is in the gutter!

Mimi naona wamezidi.

Kuvi-sexualize vitu ambavyo vinahusishwa na watoto haijakaa sawa kwangu.

Ni sawa na mtu ende akatengeze filamu ya porn kwenye darasa la kindergarten with all those tiny chairs and tables laying around.

Sitamuelewa
 
MB zangu zitaisha...
hebu nipeni habari kwa ufupi.
Madame B

Hakuna hata jipya BAGAH,
Ni vinyonga teketeke na miashuo ya boga kuotea majanini.
Ila waweza chek,
iko pouwa,c unajua tena Wazanziberi mambo ya Udi na vibagharashia ndo mpango mzima?
Ila huyo bi Harusi kauzu,hafai hata kwa ukuzu.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom