Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

Haachwi mtu hapo nikirudi nyumbani ntampa wasaa wa kujielezea,wakuoa wenywe wa shida tunabanana humo humo tumejijenga vzuri na kigari changu kaninunulia cha kumpa dada wa saloon nafasi never,aliapa for better for worse ataishi na mapungufu yangu mpaka kaburini kama jinsi nnavyoishi na mapungufu yake(ambayo ni mengi pia):)
 
Tena hapo mkolezo na kupigiwa mstari, ndiyo ugonjwa mkubwa wa wanaume wengi...kuponda wake zao kwa mahawara tena si kwa kuzuga bali kutoa siri/mambo yao ya familia huku wao wakijiweka 'perfect' ila wake wana matatizo!!

mi naona opposite is true, wake za watu wengi ndo huwaponda waume zao kwa vidumu vyao kuwa hawajui kazi kitandani
 
yani mimi ningeenda home,fungasha ninachoona kinafaa,kweeetuuuuu!maisha ya kudhalilishana hayana mpango cku hizi,huyo hamuheshimu mkewe hata kidogo,kama ana mambo yake afanye lkn kumsema mke kwa hawara inahusuuu?
 
Kifupi ntarudi nyumbani na kumwambia what happened,then ntamwambia awakanye wanawake zake,coz sina wa kugombana nae kwasababu wkt yy anafanya yk na mm nafanya yng.
 
hahahaha hapo kwenye bold iyo aibu utaiweka wapi? na baada ya kumkokota na kumsuta kama sio kumdhalilisha saloon na barabarani wakati unamkokota what next ukisha msuta una rudi home na maisha yanaendelea sio au ndio na wewe nitolee??

sio wanaume wote wanaburuzwa wengine ni kwi kwi na kama ilikuwa ni game utakuwa umempa ushindi hasimu wako nadhani cha msingi ni kufanyia kazi mapungufu yako tuu utaacha mara ngapi???

Hapo nami ningejifanya nachangia mada ili ushahidi ukamilike,
ila nikifika nyumbani tu ni lazima niketi nae nimueleze.
Kama muelewa ataelewa na labda aendeleze kwa siri ila akijifanya ku-'panick ndipo hapo atakapojijutia na ndipo nitakapomkokota hadi hiyo saluni.
 
[B said:
Passion Lady[/B];5646413]yani mimi ningeenda home,fungasha ninachoona kinafaa,kweeetuuuuu!maisha ya kudhalilishana hayana mpango cku hizi,huyo hamuheshimu mkewe hata kidogo,kama ana mambo yake afanye lkn kumsema mke kwa hawara inahusuuu?


jina lako linamaanisha mengi kasoro hasira na kukurupuka je kama ni mtego umetegewa? ukute hata hamjui hata mume wako labda shoga ako ndio katoboa siri zako kwa mahasimu wako huoni utakuwa umewasaidia ku complish mission yao?
 
hahahaha chukua like kubwa. nimeipenda comment yako ningekujua ningekutokea dadadadadeki uko juu.


Haachwi mtu hapo nikirudi nyumbani ntampa wasaa wa kujielezea,wakuoa wenywe wa shida tunabanana humo humo tumejijenga vzuri na kigari changu kaninunulia cha kumpa dada wa saloon nafasi never,aliapa for better for worse ataishi na mapungufu yangu mpaka kaburini kama jinsi nnavyoishi na mapungufu yake(ambayo ni mengi pia):)
 
Of course..you like them? Chanel Diorific lipstick will do:))

Una lips nzuri sana mtoto, are you available? Au twende Pm? Nimezipenda sana sikutanii. I can stay a year watching,kissing and sucking those lips! I can climb any mountain to kiss them
 
Of course..you like them? Chanel Diorific lipstick will do:))

I want those lips,I mean I want you because those lips are really confusing Me, I cant get them out of My mind.
Sitanii, tutafika mbali hata kama hutaki. Siwezi kuziacha lips nzuri kama hizo.
 
Ukiwa ndani ya tatizo unasema naweza ishi bila yeye lakin baada ya kuachana sasa hali ni ngum mno especially kama bado ulikuwa unampenda na haja apologise au kavuta kifaa kipya.No one is perfect hata ukipanda mazao yakavamiwa na magugu unaondoa magugu taratibu na kutia mbolea na maji ili mazao yastawi vizuri.huwezi kungoa mazao kwa pamoja na magugu .Hope umepata picha hapo.Mungu akusaidie ufanye maamzi ya busara
 
Mweee mweee mie naona patakua hapaatoshi sitaki upuuzi ntawakomesha wote huo mchepuko na huyo mume
 
Back
Top Bottom