The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Ndo manake...fata seniority hapo....haaaaa ! hamisha meza fasta
Kwahiyo mtiririko utakuwa this way Kaizer>>>Finest>>>Asprin>>>>Bigirita>>>>Roya Roy>>>>>Teamo(In case akitoka selo)>>>>
Ndo manake...fata seniority hapo....haaaaa ! hamisha meza fasta
Weee mjuuu vipi,
Sisi waxee huwa hatusemi mengi...tunashauri na kuonya kwa maneno machache na ishara....Pleeease hebu ipumzishe mahali pema....hiyo picha basi!!
Rt Maj Gen DC (1947).
jamani Jibabu wantisha khaaaaaaaaa
jamani finest tulia basi nieleze kwa kituo
hahaha Pearl umeangalia kipengele kimoja tu cha mwaka 1947 eeh?:A S 103::A S 103:
Smiles.....:A S-rap::A S-rap::A S-rap:
the finest ww, msikilize binamu wangu wa ukweli afu twende pole pole, utanipoteza mwenzio
Mimi na wewe kitu kimoja, mimi na wewe kitu kimoja, mimi na wewe lengo ni moja mimi na wewe lengo ni moja sasa fanya hivi nikukute pale oceanic pub pale kaunta baadae jioni nimemuachia eliza maagizo
mimi huwa narudia mara mbili, niweke mbele ya Roya Roy tena.Kwahiyo mtiririko utakuwa this way Kaizer>>>Finest>>>Asprin>>>>Bigirita>>>>Roya Roy>>>>>Teamo(In case akitoka selo)>>>>
Yes Kaizer....?
Halafu wewe :A S-frusty::A S-frusty:
ah ah ah kama kawaaaaaaaaaa,pale pale kona?
mimi huwa narudia mara mbili, niweke mbele ya Roya Roy tena.
Samahani, hii ni ratiba au vyeo? kama ni ratiba naomba mkumbuke haifuati seniority!
hahahhaha...........:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::smiling:
Sasa naona wewe mjuu unakuwa mbishi kidogo,
Ngoja niombe msaada kwa Robbot, hujasikia siku hizi anatake action within a blink of an eye?
Usisahau kununua korosho ukiwa njiani unakuja
Jibaaaaaaaaaaaaaaabuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:whistle:
na karanga mbichi?