Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Wasiku-malfeed bwana,

Kuwa member siyo lazima uende huko kwenye viwanja vyao. Kama vipi tubaki tuwe tunawapaga maushauri...au unaonaje?

mtu mzima dawa, mi naona ushauri wako ndo unanifaa
 
ze finest nilikofichwa sikwambii....l
DC ameotea

Bigirita youuuuuuuuuuu upo?

Dreamliner ningekuagaje sasa na wewe jamani? ningeharibu maana halisi ya kupotea lol

Smiles hicho chama I guess I am too old to be a member, wat do u think?

Agiza kinywaji chako haraka.....wambie wanirushie bill..

:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:

Lazima tubaki huko tuwasadiea hawa vijana wetu.
 
mtu mzima dawa, mi naona ushauri wako ndo unanifaa

Ndo maana nilipata shida siku zooooote hizo ulizo-hibanate...

Anyway ...tuko pamoja hadi kieleweke. Hatutaki hata kondoo mmoja apotee.

Na ukumbuke ile kazi yetu ya Oct 31.....sawa mdogo wangu. Mimi nimekwama kidogo, ... ila poa tu,..safari siyo kifo!
 
Agiza kinywaji chako haraka.....wambie wanirushie bill..

:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:

Lazima tubaki huko tuwasadiea hawa vijana wetu.

nimebadilishaga kinywaji, siku hizi nakunywa fanta orange......I guess bei ni sawa tu na koka kola
 
Ndo maana nilipata shida siku zooooote hizo ulizo-hibanate...

Anyway ...tuko pamoja hadi kieleweke. Hatutaki hata kondoo mmoja apotee.

Na ukumbuke ile kazi yetu ya Oct 31.....sawa mdogo wangu. Mimi nimekwama kidogo, ... ila poa tu,..safari siyo kifo!

hiyo haki yangu ya msingi siwezi kuipoteza na hata wangethubutu kuninyang'anya wangejuuuuuuta. No one shall ever take away that which is considered to be my right...whether constitution or other wise, sinyang'anywi aisee.

vipi nikikueksesaizia hiyo haki yako lol!!!
 
nimebadilishaga kinywaji, siku hizi nakunywa fanta orange......I guess bei ni sawa tu na koka kola

Kuna jamaa linambia kuwa fanta ni kitu hatari ukiwa na watoto home. Ukifika tu lazima nao uwanunulie kwa sababu unabeba ushahidi kwenye midogo yako.

Ila kwa sasa wewe ruksa....pata moja, mbili..n.k...jeshini tulisema una-burst...repeat until full!
 
hiyo haki yangu ya msingi siwezi kuipoteza na hata wangethubutu kuninyang'anya wangejuuuuuuta. No one shall ever take away that which is considered to be my right...whether constitution or other wise, sinyang'anywi aisee.

vipi nikikueksesaizia hiyo haki yako lol!!!

Hapo umebadili uwanja na kuniacha njiani...ndo kufanyaje namna hiyo?
 
kwa sasa endelea kupata ile kitu mtori na uji wa ulezi (uji wa mbeke)

Bigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.
 
Hapo umebadili uwanja na kuniacha njiani...ndo kufanyaje namna hiyo?

kwa mfano nikidumbukiza kura yangu afu nikachovya kidole changu cha kushoto kwenye wino na wee yako nikufanyie vivyo hivyo kwa mkono wa kulia....hapo vipi? ili usipoteze haki yako
 
Bigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.

You see..this is what am talking about,.....dah
 
Bigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.

Taratibu siku hizi kuna sheria mpya hapa JF utapigwa BAN
 
Bigirita, mtori ni mpaka nitue hiki kiumbe lol!!! saa hizi machalari ndo yanabamba mbaya
uji wa mbeke....no question, huo ndo umetulea na kutukuza na sasa nazeeka nao.
umenena......wakti ukifika usisahau kitawa, halafu mtoto akianza kula lazima apate kitu kiburu mara kwa mara, si unajua magado ndo yalitufanya tukapata maakili?....kitu potassium na sodium (K and Na) mambo ya akili kuchaji
 
Wewe usiongee kwa sababu tunakujua jinsi unavyowaingiza wenzio kwenye mkenge...Unawazuia kula vitamu wakati wewe ndiye mteja mkubwa wa kitimoto...au nadanganya??......Shahidi ya Asprin.

hahahahah......umekosea saaana!!
 
Back
Top Bottom