Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Yaani wewe B...hata sijui nikupe pole, sijui niseme hongera...si unajua hiyo kitu ikiwa tumboni si ugonjwa ehhhh.

Anyway...karibu sana ingawa hamu ya ku-catch up haijaisha!

Nipe hongera bana, it was a hard work kufikia hapa.
Hiyo hamu hebu ishikilie kwanza
 
Rit. Gen. Ni kweli nimemiss sana kama umemwona gafla basi tufanye logistik

According to Asprin ni kwamba alikuwa maternity leave sijui itakuwa imeisha?
....eeeehhh! unamaanisha Balantanda has a min these days?
 
the finest, kwenye kichuguu chwa mchwa, wee acha tu, sikuwa natamani kutoka, lol
 
sema basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii alafu nn?

Weee mjuuu vipi,

Sisi waxee huwa hatusemi mengi...tunashauri na kuonya kwa maneno machache na ishara....Pleeease hebu ipumzishe mahali pema....hiyo picha basi!!

Rt Maj Gen DC (1947).
 
hahahah....ni hapo viongozi wa ISC wanapo shikana mashati....
Au Finest hujaukwaa uongozi bado....? :biggrin1:

"BHT karibu...on behalf of IPC unakaribishwa sana kwenye chama chetu!!" :smiling::A S-rose:

Wewe si ulikuwa chumbani umetoka huko kufanya nini?
 
hahahah....ni hapo viongozi wa ISC wanapo shikana mashati....
Au Finest hujaukwaa uongozi bado....? :biggrin1:

"BHT karibu...on behalf of IPC unakaribishwa sana kwenye chama chetu!!" :smiling::A S-rose:

Mbona wewe smile unfanya utekaji...yaaani unamweka mateka Bht wetu kabla hajaamua mwenyewe. Ila kwa jinsi ninavyomfahamu na hiyo experience ya labour room, lazima atakuwa mwanachama mwadilifu na mwaminifu sana wa ISC kuliko hata Makamba na familia yake kwa CCM.
 
Pearl unajua...........nikitulia nitakwambia kila kitu ila nakuachia huu ujumbe ili ufanye tafakari........KUGAWANA NI KUJALI

Wewe sana naona unaleta utani....hivi hata hapo (kwenye hiyo pic) hiyo rule inaapply au mimi ndo ninaumwa?
 
hahahah....ni hapo viongozi wa ISC wanapo shikana mashati....
Au Finest hujaukwaa uongozi bado....? :biggrin1:

"BHT karibu...on behalf of IPC unakaribishwa sana kwenye chama chetu!!" :smiling::A S-rose:

Smiles.....:A S-rap::A S-rap::A S-rap:
 
the finest ww, msikilize binamu wangu wa ukweli afu twende pole pole, utanipoteza mwenzio
 
Back
Top Bottom