Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Smiles jamani....kwanini unabanana na huyu mzee, hebu tafuta vijana bwana....khaa unaniuzi, yaani urembo wako uumaizie na huyu mzee?

Afu dada mbona unaniwekea uzibe namna hii. Hivi maini nayo yanazeeka? Smiles usimsikilize huyu mtu. Tushamfukuza kwetu kwa sababu ya tabia yake mbaya. Malaria HAIKUBALIKI.
 
hahahahah......
si unajua mwenyewe anavyojiletaga kwangu....
sasa jana nikataka niuone ujanja wake feki...kumbe hamna kitu!
Usijali my dia....i got my precious prince!

thanks sana...haaa ackuzeeshe.
 
Afu wewe.....mbona jana ukanikimbia???
au ujanja wote unaishia JF....:A S 13:

Halafu unajua ....... Hapo wala sikupaona.

Kumbe uzee taabu kweli kweli! Ila hiyo dhambi hata ukutubu mara 1000 hutasamehewa!:dance::dance:
 
Mkuu kumbe wewe ni mjeshi mstaafu?

Mh. sana , Rev...Mch.

Vitu vingine huhitaji kuambiwa..Ukiona meno yanaanza kupukutika mdomoni unasubiri kweli kuambiwa kuwa nyama huwezi tena kuzila?

Mwezio nimekubali hali na sasa natesa kwa kuvuta zile memories....Ni raha saaana kuukumbukia ujana.

Kazi sasa ni moja,...kuokoa hiki kizazi kisiangamie!
 
Halafu unajua ....... Hapo wala sikupaona.

Kumbe uzee taabu kweli kweli! Ila hiyo dhambi hata ukutubu mara 1000 hutasamehewa!:dance::dance:

Uzuri ni kuwa ng''ombe hazeeki maini!
 


Usiache kuniandika kwenye urithi wako! Utabarikiwa sana
 
Infact ng'ombe wa kiume hazeeki kabisa...:biggrin1:

Samahani nilipitiwa na hii yuziful point.

Ngombe dume hazeeki mpaka atinge kaburini. Na akifa maini hubaki yamesimama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…