Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Dunia inasonga . Tumetoka zama za mawe. tukaja zama za chuma , na maendeleo mengie hivi sasa tuo kwenye INFORMATION AGE. Teknolojia ha habari na mawasilino ndiyo muhimili wa ammbo mengi.
Hivi sasa kwenye teknolojia ya magari wezzetu wameshnza kutengenza nak utumia magri yanayotumi nguvu ya betri. Sijui kama tunaweza kupat takwimu za gharama za mafuta ya magari ya seriiali kwa wiki. Kama sikosei VX nyingi zina mgao wa si pungufu ya lita 200 kwa wiki.
Sina uahkia na Maofisa wa Wizara ya Mazingira na, Wizraya Sayansi na Teknolojia au Wizara ya Ujenzi kama walipoona habari hii kuna kitu iliwajia kichwani amabcho kinaweza kuwa kwa manufaa kwa serikali ya watanzania n watanzania.
Nilitegeemea
Je Mawaziri na maoifsa wetu wakiwa kwenye safari za mjini ufanisi wao unashuk wakitumia gari ndogo?i
Kama ningekuwa nina maamuzi basi serikali ingekuwa imehsaanza utumia gari hizi kwa mjaribio katika idara na maiofisa wacahache walichaguliwa kwa majaribio. Tena ningeanza na Wizara ya Mazingira au wizara ya Sayansi n teknolojia
Tembelea HYBRID CAR kujua maelezo zaidi
Hiyo ni beyond Politics part-2
Soma Beyond politics part 1 hapa

- nisikie Serikali inyokwenda na wakati kuwa mpaka sasa kuwa japo imeagiza na kuamua kununua gari hizi chache kwa majribio kwenye idara na maofisa fulani fulani
- Niskie mpango wa serikali kuweka shemu za kucharge kwenye wizara chache zilizochaguliwa na vituo kadhaa vya mafuta