Wote, lakini kila mtu ana mambo yake, rihana anaonekana ana mashamushamu sana mkiwa gheto, beyonce namuona kama yupo kisista duu zaidi, huwa wanaboa mkiwa kwenye malavidavi.

Hawa waliokuwa wakibishana, walibishania hilo hilo kwamba kwa nini JZ alipinda kidogo wakati beyonce ni mkare. Haya jojobingo kwa mtazamo wako nani mkare?