BEWARE: What Is This Smell over Dar es Salaam ?

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all those with internet should come up and clear the air if this is safe or not and what should the people do ?
 
Before proceeding with discussion can you please point out the 'parts of Dar' which smells obnoxiuosly?
 
Don't understand. Which areaa a u? Why intetnet ?

Ukweli ni kwamba karibu mji mzima unanuka mkojo na vinyesi (unless kama unaishi DSM kwa muda mrefu .. inakuwa vigumu kunotice). Kwa mfano unaposhuka Airport unapokelewa na harufu ya mikojo na vinyesi. Vituo vya mabasi, treni, mahoteli yote (ukitoa labda kubwa kubwa), mabaa, karibu mitaa yote hali ni hiyo hiyo.
 
yeah kweli. hata mie ni mhanga wa hii kitu: majuzi-kati nilikimbia/nilihama (nikahamia nyumba ya muislamu na hakuna ugomvi japo mimi ni mkristo) nyumba niliyoishi zaidi ya mwaka kutokana na harufu kali iliyokuwa inapiga kitandani moja kwa moja. yaani ni kero. joto kali dar lakini nilikuwa sithubutu kufungua pazia za madirisha kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kufungulia tundu la choo.

kwa ufupi Dar inanuka. mlioko mikoani kaeni huko huko.

mjomba usije mjini.
 
Duh, Dar nyumba zinanuka isipokuwa ya muislam.

Natafuta nyumba ya muislam nipange kuondokana na adha ya harufu mbaya.
 
Sred ilikuwa simpo kuhusu harufu na kushirikishana kama kuna cha kujuzana, lakini imeshaingiliwa na great stinkers.
 
yeah kweli. hata mie ni mhanga wa hii kitu: majuzi-kati nilikimbia/nilihama (nikahamia nyumba ya muislamu na hakuna ugomvi japo mimi ni mkristo) nyumba niliyoishi zaidi ya mwaka kutokana na harufu kali iliyokuwa inapiga kitandani moja kwa moja. yaani ni kero. joto kali dar lakini nilikuwa sithubutu kufungua pazia za madirisha kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kufungulia tundu la choo.

kwa ufupi Dar inanuka. mlioko mikoani kaeni huko huko.

mjomba usije mjini.
Hapo kwenye red umeniacha!!! Inamaana wakristo wana ka smell fulani????
Dar yote inanuka vibaya, Uchafu umezagaa mji mzima Afya za wakazi wake ziko hatarini.:laugh: mjomba usije mjini.
 
Dar ina nuka mpaka IKULU.!! Ukiwa ikulu na ofisi ya waziri mkuu kuna shombo la samaki feri, ukiwa Holiday Inn kuna harufu mbaya ya ule mtaro wa kituo cha basi posta mpya, bila kusahau mtaro wa hidery plaza,ukiwa upanga, zanaki kwenye mitaa ya wahindi ndo usiseme! Vinyesi vitupu. Ukipita Salender bridge shombo!, Ukienda stand ya mabasi ubungo ni chupa za mikojo zimetapakaa.! Tandale , kwa mtogole, manzese, Kigogo ndo balaa tupu.Ni aibu jiji zima linanuka! Halafu katika utafiti wangu nimegundua watu wa magari ndio watupaji wakuu wa chupa za mikojo mitaa ya city center na barabara zingine. Especially wanapokuwa kwenye foleni.!Nimewahi kushuhudia mtu kanunua maji ya uhai akiwa kwenye foleni akanywa then akakojoa kwenye ile chupa akaitupa. Viongozi wa manispaa wamelala sana. Wangewauliza wenzao wa Moshi wanawezaje.
 
Mimi jana sijui nilikuwa ninaota au Mungu ndo alikuwa ananifunulia? maana nilishinda nafikiria namna nitakavyoendesha hii nchi na baraza langu la mawaziri.

Ukweli nikwamba nilipata shida sana namna ya kupunguza baadhi ya wizara, lakini cha ajabu niliongeza wizara moja ambayo haipo na wala sidhani kama kuna mtu ameshawahi kuifikiria. Sikutaka kabisa kuwa na wizara ya michezo sijui kazivijana na nini kwa sababu nimeshindwa kujua huwa inafanya nini maana watu huwa wanacheza wenyewe wanatafuta kazi wenyewe mimi sioni haja ya kuwa na waziri kama CHIMBI amekaa pale kam kifutu na PHD yake ya kufoji.

Comiming back.
Wizara mpya ambayo ilikuja akilini mwangu ilikuwa ni WIZARA YA USAFI WA MIJI YOTE NCHINI huwezi kuamini kwanini wazo hili lilinijia. Nilikuwa nikipita maeneo ya tegeta nikakuta jinsi mitaa ilivyokuwa michafu na vibandavibanda vingi ambavyo kwa ujumla wake ilikuwa ni kero tu. Mimi niliazimia moyoni kuwa hakutakuwa na biashara ndogo ndogo kabisa kwa sababu huu ni uvivu wa kufanya kazi za uzalisha na kukimbilia mjini kuja kuchafua tu miji.
Mimi sitataka kuona mtu anfanya biashara uchwara mjini labda huko vijijini. Watu wafanye kazazi za uzalishaji mali katika maeneo yao siyo kuganga njaa na kigenge cha nyanya mbili na kitunguu kimoja kwenye majiji.
Najua kama nitashindwa kuleta maendeleo ndani ya term moja basi lazima waliokinyume na hili watanitimua but nitakuwa nimejaribu kuweka mambo sawa.
 
There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all those with internet should come up and clear the air if this is safe or not and what should the people do ?
Mkuu ni kweli kuna hali isyoelezeka kwa sasa... sijui ni sumu au mtu anachoma dawa au nini...

Ila sijakuelewa mleta mada unaposema wenye internet waje ku-clear the air, what exactly did you want to say hapo? na kwanini internet?
 
Kuna makazi yanayonuka kuliko Ikulu? Mbona Mkwere amekaa hapo miaka yote hii bana.

Wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani wanafungulia kinyesi kwenye mitaro ya maji machafu. Nani atakayekemea manispaa kwamba jiji ni chafu?
 
Njooni Moshi hewa ya migomba inanukia vizuriiiii. No msije tutaanza kubanana
 
There is an obnoxious odour in various parts of Dar es salaam. It smells like ampicciln affected urine and it is terrible. I am sick but I got immediately up to investigate the matter. Kindly, all those with internet should come up and clear the air if this is safe or not and what should the people do ?

I fail to associate between smell and Internent. By the way, where did you specifically find that smell?
 
Back
Top Bottom