Beware Ladies! Now its bottled water ...

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Bottled
water in your car is very dangerous!


On the Ellen show, Sheryl Crow said this is what caused her breast
cancer. It has been identified as the most common cause
of the high levels of dioxin in breast cancer tissue.

Sheryl Crow's oncologist told her:
women should not drink bottled water that has been left in a car.
The heat reacts with the chemicals in the plastic of the bottle which releases dioxin into the water. Dioxin is a toxin increasingly found in breast cancer tissue. So please be careful and do not drink bottled water that has
been left in a car. Pass this on to all the women in your life.

This information is the kind we need to know that just might save
us! Use a stainless steel canteen or a glass bottle instead of plastic!

LET EVERYONE WHO HAS A WIFE / GIRLFRIEND /
DAUGHTER KNOW PLEASE!

No plastic
containers in microwave.No water bottles in freezer No plastic wrap in microwave. A dioxin chemical causes cancer, especially breast cancer.
0A Dioxins are highly poisonous to the cells of our bodies. Don't freeze your plastic bottles with water in them as this releases dioxins from the plastic. Recently, Edward Fujimoto, Wellness Program Manager at Castle Hospital , was on a TV program to explain this health hazard. He talked about dioxins and how bad they are for us. He said that we should not be heating our food in the microwave using plastic containers... This especially appli es to foods that contain fat.He said that the combination of fat, high heat, and plastic releases dioxin into the food and ultimately into the cells of the
body... Instead, he recommends using glass, such as Corning Ware, Pyrex
or ceramic containers for heating food.. You get the same results, only without the dioxin.. So such things as TV dinners, instant ramen and
soups, etc., should be removed from the container and heated in something
else. Paper isn't bad but you don't know what is in the paper.

It's just safer to use 20 tempered glass, Corning Ware, etc. He reminded us that a while ago some of the fast food restaurants moved away from the foam containers to paper. The dioxin problem is one of the
reasons... Also, he pointed out that plastic wrap, s uch as Saran wrap,
is just as dangerous when placed over foods to be cooked in the microwave. As the food is nuked, the high heat causes poisonous toxins to actually melt out of the plastic wrap and drip into the food. Cover
food with a paper towel instead. This is an article that should be sent
To anyone important in Your life!

Kuna kitu ambacho hakina cancer kwa wanawake?
Tumeambiwa deodorants, bras, tampons,now bottled water!
 
we should not be heating our food in the microwave using plastic containers... This especially appli es to foods that contain fat......the combination of fat, high heat, and plastic releases dioxin into the food and ultimately into the cells of the
body... Instead, he recommends using glass, such as Corning Ware, Pyrex
or ceramic containers for heating food.. It's just safer to use 20 tempered glass, Corning Ware, etc. some of the fast food restaurants moved away from the foam containers to paper. The dioxin problem is one of the
reasons... plastic wrap, such as Saran wrap,
is just as dangerous when placed over foods to be cooked in the microwave. As the food is nuked, the high heat causes poisonous toxins to actually melt out of the plastic wrap and drip into the food. Cover
food with a paper towel instead.
!


Matumizi ya microwave ni kitu cha kawaida sana siku hizi.Je watu tunazingatia kutumia vyombo vinavyofaa au tunatumia plastiki tu?
 
Mbona kila kitu tuaambiwa kibaya? Deodorants mbaya, bras mbaya,canned food mbaya na sasa bottled water.Mungu mwenyewe tu atunusuru.
 
Haya maji yanasafirishwaje kama si katika magari, na huko njiani kote hayapati hili joto tu?

Apart from The Ellen Gegeneres Show where any degenarate can fling down any fringe science, kuna reputable study inayosupport hili?
 
Siku hizi kila kitu kibaya si cell phone si vyakula si vipodozi si computer...just live and let live...what the hell
 
:confused: Mmhh, mambo haya ni magumu. maana pia yunaambiwa ukinywa maji yalochemshwa ktk sufuria, baada ya kupoa unakuta kuna mstari ktk sufuria na utando wake juu ya maji basi inasababisha kuwa na tatizo la kusahau sahau kwa vile utando huo huwa unatanda ktk ubongo. Mungu tusaidie waja wako.
 
kweli kwa sasa huwezi jua kitu gani kizuri hasa kwa wanawake maana kila kitu tunaambiwa kibaya hata hivi vyakula asilia unambiwa kama vimeoteshwa kwa kutumiwa mbolea ya viwandani navyo pia si salama vinasababisha matatizo hasa kwa wanawake kwa hiyo kwa ujumla naona hakuna kitu kilichobaki salama kwa dunia ya sasa. na kwa hali ya kimaskini ya sisi waafirika hata hizo sufuria nzuri kwa kupikia vyakula ni gharama mtu wa hali ya chini hawezi kumudu. nafikiri njia nzuri ya kupika chakula ni kutumia vyungu asilia tu.

lakini vyungu kwenye majiko ya umeme vinaweza kukaa vizuri kweli?

kitu kingine hizo microwave nilishawahi kusikia kuwa ni vizuri kupasha chakula kikiwa ndani ya chombo cha plastic chenye mfuniko ndio inakuwa salama kwa sababu mionzi haipenyi. pia kuhifadhi vitu kwenye friji ni vizuri kuhifadhi vikiwa kwenye vyombo vya plastic ambavyo vina mifuniko sasa mbona habari tena zinajichanganya.

nafikiri lililobaki ni kumwomba Mungu tu ndiye ajuaye afya zetu ukitaka ufuatilie sana mambo haya utapaka ugonjwa wa Moyo kabla ya siku zako ila la muhimu kile kibaya unachoweza kukiepuka ni bora kukiepuka maana vingi haviepukiki kama plastick naweza kusema asilimia 70% ya mahitaji ya binadamu tofauti tofauti packaging yake ni plastic materials na vinasafirishwa kwa magari so hapo utaepuka vipi hayo madhara wajameni?
 
Hata oxgen tunayovuta imeathirika na sumu za viwandani/heavy traffic kila kitu siku hizi ni smumu hata chaki za walimu wa shule zetu hizi zina chemicali mbaya....tunaishi kwa matumaini...
 
Haya maji yanasafirishwaje kama si katika magari, na huko njiani kote hayapati hili joto tu?

Apart from The Ellen Gegeneres Show where any degenarate can fling down any fringe science, kuna reputable study inayosupport hili?

Si hilo tu..tunaambiwa hata magari tunayotumia, unapoingia kwenye gari ambalo limekaa juani na kupata joto, ile hewa mle ndai ina sumu kali.Thanks God we are still alive.Unatikiwa ukiingia garini ufungue vioo ili hewa safi iingie. Hewa safi nayo ina utata ukizingatia kiwango cha uchafu utokanao na carbon emmissions.... anyaway.... itafika mahali tutauziwa hewa ya oxygen kwenye mikebe kama tunavyonunua maji ya kunywa!
 
Back
Top Bottom