Better is not good enough best is yet to come!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Yawezekana una hamu siku moja ya kuwa mume ama mke wa mtu,yawezekana ndoa yako inahaha kutafuta muafaka na amani..yawezekana umekwenda kwa waganga na kila sehemu kuomba ndoa yako iwe na amani....yawezekana umekuwa daraja la watu kupimia uume wao na kukukimbia...yawezekana una matatizo ya kuwa na sehemu ndogo ya uzazi kwa kushinda kumfikisha mwenzio......ukisoma yote utakuja kujua haya yote si mapenzi ya MUNGU
Kama unamwamini Mungu ndugu yangu Leo hii Mungu anakwenda kukupa amani ya ndoa yako Mungu anakwenda kukupa mke.mume mwema kutoka kwa Bwana yesu..watu wengi wanashindwa kupata kutokana na maombi...unaishia bwana naomba umenipe mke mume bora lazima ujue ata shetani anaitwa bwana...ipo siku ujijui unamshabikia shetan..mwombe roho mtakatifu akuongoze...leo nakutangazia matatizo yote kuisha in jesus name

Naachili mke mwema na si bondia mume mwema na si mpiganaji awe wako in jesus name
Naachilia uzao wa ajabu miongoni mwenu ukiwamo wewe unaesoma hapa Mungu akakupe uzao usio na upendeleo...Bwana Yesu apewe sifa ...kama waamini haya shirikiana nami kwa kusema AMEN AND AMEN

Godbless you all
 
this is true kabisa mpendwa!when u belive in God nothing is impocbo!!!!!
 
AMEN..na nguvu za Bwana roho mt.ziendelee kukuongoza
 
Back
Top Bottom