Best Watch Brands for Men!

ndugu sijui Rolex mnazozionesha hapo ni Original from Switzerland au sijui wapi but kuna duka la saa liko ndani ya plaza moja hapa posta (yenye Le grand Casino) ndugu zangu Rolex ni dola 10000 hadi 16000 tena zinaletwa kwa order sikuamini nikashangaa hizi za laki mbili mtaani zinatoka wapi, kama ww kweli umepurchase genuine Rolex kwa hiyo bei nakupa heshima yako!!! personally ninayo Casio G shock na pia napenda Swatch (ambayo ntanunua karibuni) kama mwanafunzi anavyopenda wali arage!
 
Sure sababu kwa level hiyo anakuwa kashaandikwa sana mpaka kakinai so atapenda privacy na hata kukwepa kuandikwa!!!!

Sijui ni kama mzee Bakhresa mwenyewe maana ni kimyaaa kama hayupo na wengi hata kwa sura hawamfahamu!!!!!!!

That's why there's a difference between rich people and wealthy people.
 

wanazungumzia fake kama OMEGA za laki 2...
 
Umenikosha sana mkuu,unaonekana ni mdau wa vidonda,hiyo ni addiction kwelikweli.nina collection mpaka watu wananishangaa,choices zangu

Michael kors
Guess
Timex
Seiko 5

Mkuu yaani mpaka huwa sometimes najiuliza hivi ni ugonjwa au kawaida tu inafikia stage ukimuona mtu na kidonda kikali unastuka na kama yuko friendly unauliza japo kukiona kwa karibu na kujua make!!!!!!

Sasa imefikia unaikumbuka moja ukitaka ivaa kumbe batt ilishakufa ,hapo sasa nikaona kununua sawa ila yena kuna kazi ya ku maintain except the automatic ones and those with winding mechanism!!!!!!

Yaani unakuwa teja kabisaaa mkuu xfactor
 
Last edited by a moderator:
Saa na snickers ni vitu vilivokula pesa yangu Sana!! Hii hobby imeisha hadi najishangaa sijui Ndio kukua huku!!
 
ooops my bad...why would u brag u got a rolex while its a FAKE?

Una character za mwanangu mmoja huyo mkitoka naye those old days yaan anaweza kukupa ugomvi sio wako!!!!!!!!

Mtu anaweza akawa anasimulia a new movie episode yaani akikosea hata kama hamjui kivile lazima amrekebishe!!!!!!!

You gud son????!!!
 
una character za mwanangu mmoja huyo mkitoka naye those old days yaan anaweza kukupa ugomvi sio wako!!!!!!!!

Mtu anaweza akawa anasimulia a new movie episode yaani akikosea hata kama hamjui kivile lazima amrekebishe!!!!!!!

You gud son????!!!

im good bro....
 

Mkuu peleka hii kwingine
 

Seiko Five kaka ndo kila kitu
 
Mkuu peleka hii kwingine

Mkuu yule kiongozi wa serikali ya uingereza kaharibu sana vijana kwa ile hoja yake!!!
Yaani wanaume wamekaa wanazungumza yao here comes a shemale na mambo yake! !!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…