Best Watch Brands for Men!

mkuu be serious and be realistic niambie mtu gani hapa tanzania anamiliki saa ya bei hyo

Mkuu mtauana kwa pressure bureee!!!!!
Hiyo maneno yaweza kuwa inatengenezwa piece ngapi kwa mwaka!!!!??????
 
I am a proud owner of one of these Skagen watches. Hizi ni saa za Kidenish. Very elegant. Most of them are light weight and very thin. Bei yake poa kwa sisi walalahoi ($50 - $200).

Hmmmmmm. Yum yum.
 
Mkuu mtauana kwa pressure bureee!!!!!
Hiyo maneno yaweza kuwa inatengenezwa piece ngapi kwa mwaka!!!!??????

hahahahaha i dn't think there is anyone here in Tz anayevaa saa ya hela hiyo,

Davis Mosha alivyonunua tu ile lamborghini ya dola 250,000 aliandikwa kwenye vyombo vyote vya habari sembuse saa ya dola 999,000.
 
Omega lovely brand
 
Attachments

  • 1391069913333.jpg
    57.2 KB · Views: 185
  • 1391069936030.jpg
    61.7 KB · Views: 183
Mimi Nina omega speedmastei skeleton watch nilinunua 3years ago..kwa Benson arusha
laki 2.
mpaka leoo hadi nimeichoka Mimi..nakuitaftia nyumba ndogo mbili(Casio na Seiko 5 ambazo baada ya 6months nachange battery
 
hahahahaha i dn't think there is anyone here in Tz anayevaa saa ya hela hiyo,

Davis Mosha alivyonunua tu ile lamborghini ya dola 250,000 aliandikwa kwenye vyombo vyote vya habari sembuse saa ya dola 999,000.

Mambo mengine yanatisha ati!!!!
We mnyamwezi wote huyo ukamtundike mkononi, kaka heshima sio umri tu jamani! !!!!!
Kuna mambo unaweza dhani unaota hivi saa kama hiyo hata ukipewa bure utaiweka???!!!!!Asee unaweza chakaza calculator kwa conversion kila rate ikibadilika nawe unatamani kuiuza!!!!!
 
Wapo wenye pesa zao ambao kwao hiyo $ 999,000 ni chenji tu. Na hutawasikia wala kujitangaza kwenye blogs na wako kimyaaaaaa
 
Wapo wenye pesa zao ambao kwao hiyo $ 999,000 ni chenji tu. Na hutawasikia wala kujitangaza kwenye blogs na wako kimyaaaaaa

Sure sababu kwa level hiyo anakuwa kashaandikwa sana mpaka kakinai so atapenda privacy na hata kukwepa kuandikwa!!!!

Sijui ni kama mzee Bakhresa mwenyewe maana ni kimyaaa kama hayupo na wengi hata kwa sura hawamfahamu!!!!!!!
 
Umenikosha sana mkuu,unaonekana ni mdau wa vidonda,hiyo ni addiction kwelikweli.nina collection mpaka watu wananishangaa,choices zangu

Michael kors
Guess
Timex
Seiko 5
 
Mimi Nina omega speedmastei skeleton watch nilinunua 3years ago..kwa Benson arusha
laki 2.
mpaka leoo hadi nimeichoka Mimi..nakuitaftia nyumba ndogo mbili(Casio na Seiko 5 ambazo baada ya 6months nachange battery

Bongo wanatuuzia vitu feki sana. Yani Omega speedmaster kwa laki 2?!!
Hizo saa sio chini ya £ 2,000.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…