Kufanya nn kwa mafisadi -----
Kumbe utaratibu uliotumika ni ukipata ujumbe una forward tu bila kuangalia chanzo cha habariCHIPWILU!
Kiongozi kugoogle tu kunaweza kukupa takataka ndiyo maana kuna somo la searching techniques, kwani wewe umetafuna au umetafuniwa?
hizo msg zimecirculate toka asubuhi kuanzia kwenye wasapp, blogs lakini hazionyeshi source so usilazimishe kusearch kwenye google, ungetaja site accredited kwa kazi hiyo!Top Universities in Tanzania | 2015 Reviews & Rankings unamaanisha hiyo?
Maelezo ya mtoa mada kuna Institutes na University kitu ambacho nakikosoa labda tuna school of thoughts tofauti mno!!
Acha ujinga kufanya nini kwa mafisadi we unasoma ufisadi pale ??? Kuwa mkweli kwamba ulipata divisheni chafu ndo maana ukazingua kuja Ud watu wengi huwa wanapenda kuja hapa ila cutoff point wanachemsha , No one like Ud in Tzthat iz why kila kitu tunapew fest priority Boom pale kati ngoja nikasaini arafu
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora niDuuuu ebu pitien hii 100 bora za afrika ndo mtajua kama hyo thread ya ukwel au imepikwa
Africa | Ranking Web of Universities
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe
Hapo wamechanganya pombe na chai, hivi institutes ni university? Hata kama zinatoa degree haziwezi itwa university hapo kuna michanganyiko, na mahaba
first year bhana!research na publications zinachangia sana kuinua chuo.walimu wa udom wanafanya sana
Na mwaka huu Udom itachukua wenye dvsn one tupu.
first year bhana!research na publications zinachangia sana kuinua chuo.walimu wa udom wanafanya sana
Hii ni kutoka 4icu.org Top Universities in Tanzania | 2015 Reviews & Rankings
Umeona eenh tunaosom chuo cha taifa tumetulia tu
unaishi kwa kukariri Udom si ile ya 2007 ya sasa ni untouchable subiri after few yrs to come
ha HAPA UNAAIBIKA KWANI UMECHANGIA KWASABABU ULITAKA KUSIFIA CHUO CHAKO ILA UBORA WA CHUO HAUSABABISHWI NA UFAULU AU KUFELI KWA WANACHUO BALI NINAMNA ZAO LA CHUO LINAVYOAJIRIKA KWA WINGI PAMOJA NA UBORA WAOWewe sio kwa kukarr udom thaman ya gamba kuipta ud bado sanaa, hapo mnajivunia majengo bt gamba la kawaida tu hamna tofaut na colleges zngne....