the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 894
mimi pia nimemalioza call of duty modern warfare 2 akina kapten price wakina ghost na wengine kiukweli hizi game za call of duty ni mona sana-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.
Hizo sniper zina ukubwa ganiZangu mimi
1.Need for speed carbon
2.ghost recon future soldier
3.battlefield 3/4
5.Need for speed run
6.gta(best of all time)
7.sniper elite 3
8.sniper ghost warrior 2/3
Ndugu mpendwa fanya ucheze hizi kitu ndo utajua naimanisha nini....weka mbali na watoto sumu❌
Hii namba 1 ina kama 1.5gb na hii ya mwisho ina kama 2gb....moja ya game nzuri sana kuwahi kucheza za shooting....angalia YouTube ni noumaHizo sniper zina ukubwa gani
Sasa kweny battlefield 4 unakutana na akna irish, recker, anna balaa tupumimi pia nimemalioza call of duty modern warfare 2 akina kapten price wakina ghost na wengine kiukweli hizi game za call of duty ni mona sana
Mkuu download tu mbona rahisi 64GB unatenga 2 Weeks..Ungekuwa Arusha au Moshi dogo langu angekupa bure yeye ndio anapenda kulichezea kwenye Pc..GTA V nimelicheza sana tu tangu 2014 kwenye PS3 na still liko kwenye top 10 yangu napenda sana kucheza GTA online..mwenyewe GTA FIVE JAMANI MSAADA TUNUNUE JAMANI tuchekiane inboxni hii hapa nitalifata popote dar
Mm lile game kuna level nashindwa kucheza pale anapoambiwa akamuue mtu anae cheza golf amuue please help me gtavGTA V yatosha.kama ni vita ipo,magari yapo,mahonda yapo gym ipo,Makanisa yapo, jela ipo,pesa zipo,benki zipo,clubs zipo tabu ya nini?
GTA V nimemaliza mission zote..Sasa sikiliza kwa makini,pale kwenye uwanja wa golf kuna security sawa ukiua mtu cops wanatimba sasa unatakiwa umue chap pamoja na mabody guard wake na utokee ile njia uliokuja nayo then chukua usafiri usepe..kama alikukimbia kwa kutumia vile vigari vya golf ataelekea kule barabarani na wewe chuka usafiri chap nfatilie umue mapema kabla ajakupotea..Mm lile game kuna level nashindwa kucheza pale anapoambiwa akamuue mtu anae cheza golf amuue please help me gtav
Mm lile game kuna level nashindwa kucheza pale anapoambiwa akamuue mtu anae cheza golf amuue please help me gtav
Mkuu natafuta Call of Duty Black Ops 1 & 2, unanisaidiaje hapo?mimi pia nimemalioza call of duty modern warfare 2 akina kapten price wakina ghost na wengine kiukweli hizi game za call of duty ni mona sana
Unapatikana wapi Mkuu?Zangu mimi
1.Need for speed carbon
2.ghost recon future soldier
3.battlefield 3/4
5.Need for speed run
6.gta(best of all time)
7.sniper elite 3
8.sniper ghost warrior 2/3
Ndugu mpendwa fanya ucheze hizi kitu ndo utajua naimanisha nini....weka mbali na watoto sumu❌
Hauna Fifa 16?Game zangy mimi ni
Need for speed the run
Pes 2016
Need for speed hot parsuit
Need for speed most wanted 2012
Need for speed rivals
Fallout 3 daah hizi game hatari sana
Ahahahahahahahahaha acha masihara mkuu, mnanisaidieje kupata hayo makitu, mimi nipo Dar.Sasa kweny battlefield 4 unakutana na akna irish, recker, anna balaa tupu
Call of duty nzur japo yuri ni snitch ila battlefield ni kwere maana kwenye 3 una sukuma hadi f17 ndege moja matata, tanks na ndinga zote za kijesh plus assaults nzito
Ushaipata Black Ops 2?Ngoja nikadownload chap...
Mkuu, naomba unifanyie mpango wa hizo COD.Du sijui nianzie wapi maana game nilizocheza ni zaidi ya 100
Call of duty series yote iko poa kuanzia call of duty 4 hadi black ops 3
Crysis 2 na 3
Farcry 2 hadi 4
Singularity
Duu nilitaka kusahau battlefield kuamzia bad company hadi 4
The vanishing of Ethan Carter
Metro 2033 na last light
Siwezi maliza kutaja
Sio masihara mkuu...battlefield nuksi sana...ukicheza utakutana na yte niliyosema hapo..af kuna handline game yao ya mwaka 2015 nayo kari kichzAhahahahahahahahaha acha masihara mkuu, mnanisaidieje kupata hayo makitu, mimi nipo Dar.
Dogo langu alinisaidia kudownload na liko complete sema sijapata nafasi ya kulicheza kazi zimenibanaUshaipata Black Ops 2?