Unaweza kuwa na Truck simulator mzeyaaa. ?Wadau mwenye fifa 18 aliyeko Dar tutaftane nna pes 18 tuenjoy game zote
Nunua kwenye website ya Steam ni dola 19.9 tu. Utapata nafasi ya kucheza multiplayer online. Jamani kama kuna watanzania wanapenda kucheza ets2 online tujikusanye tuanzishe group letu.Unaweza kuwa na Truck simulator mzeyaaa. ?
naitaka fifa 18 kwa hamu sanaWadau mwenye fifa 18 aliyeko Dar tutaftane nna pes 18 tuenjoy game zote
Ninayo na mods zakeUnaweza kuwa na Truck simulator mzeyaaa. ?
litatoka mwaka huu age of empire iv.Age of empire || and |||
Mwenye age of empire IV or We of empire afikan kingdom please inbobo
ram pekee sio kigezo cha kujua nguvu ya kucheza games,wakuu samahanini, naomba kwa anaejua jinsi ya kuincrease RAM kwenye pc anielekeze. nataka na mimi nicheze games ila zinagoma RAM ndogo ni 1GB tu
Processor yangu ni Intel duo coreram pekee sio kigezo cha kujua nguvu ya kucheza games,
mpaka ujue aina ya ram pc yako inayotumia, kuna ddr2, ddr3, ddr4 etc.
nenda mycomputer kisha right click kisha properties kujua aina ya processor itaje hapa.
hata ukiongeza ram haitasaidia mkuu ni ndogo sana hio cpu. tafuta tu laptop nzuri.processor: intel(R) pentium(R) M processor 2.00GHz
memory: 1.00 GB
taja kwa ukamilifu kama alivyotaja mwenzako.Processor yangu ni Intel duo core
angalau gen ya 3 ya intel i3 au i5 au i7 utacheza games.asante mkuu. je pc nzuri kwa games ni zipi?
GAMERS GAMERS
Naomba link mkuu kuipata hyo most wanted need for speed... I'm craze fan of racing gamesGAMERS GAMERS
Watch dog 2
The witcher 3
Forza horizon 3
Gta V
Most wanted need for speed
Blur
Basketball 2k17
Project cars 2
Kutana na
RAM 16GB
Graphics NVIDIA geforce GTX 1070
Core i7-7700 processor
Window 10
Tafuta need for speed playback na assassins creed originsGAMERS GAMERS
Watch dog 2
The witcher 3
Forza horizon 3
Gta V
Most wanted need for speed
Blur
Basketball 2k17
Project cars 2
Kutana na
RAM 16GB
Graphics NVIDIA geforce GTX 1070
Core i7-7700 processor
Window 10
tafuta assassins creed origins uitendee haki nvidia yakoGAMERS GAMERS
Watch dog 2
The witcher 3
Forza horizon 3
Gta V
Most wanted need for speed
Blur
Basketball 2k17
Project cars 2
Kutana na
RAM 16GB
Graphics NVIDIA geforce GTX 1070
Core i7-7700 processor
Window 10