Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,865
zero hd remasterWewe resident evil ipi, me mwenyewe ninalo resident evil 5. Computer inameet minimum system requarement lakini limegoma.
zero hd remasterWewe resident evil ipi, me mwenyewe ninalo resident evil 5. Computer inameet minimum system requarement lakini limegoma.
Me nikifungua linakrash afu linanaambia resident evil stop working.zero hd remaster
Hiyo mkuu huenda ikawa ni matatizo ya windows yenyewe jaribu kudownload runtimes mbalimbali kama Net Framework Update Direct X. na JRE na nyiginezo au download AIO Runtimes ambayo itakupa runtimes zote ambazo ni muhimu kwaagili ya magemuMe nikifungua linakrash afu linanaambia resident evil stop working.
Taja specs za pc yakomkuu mimi ninalo nimedownloa ila halichezi naona spc za computer yangu ni ndogo, naona watu wengi wanalisifia sana
Dah labda mkuu lakini nilishainistall runtime zote. Hata hivyo www.oceanofgames.com pia yule dada alisema kuwa huwa lina hilo tatizo lakini hajatoa solution.Hiyo mkuu huenda ikawa ni matatizo ya windows yenyewe jaribu kudownload runtimes mbalimbali kama Net Framework Update Direct X. na JRE na nyiginezo au download AIO Runtimes ambayo itakupa runtimes zote ambazo ni muhimu kwaagili ya magemu
Ok ila mi kwangu linachezaDah labda mkuu lakini nilishainistall runtime zote. Hata hivyo www.oceanofgames.com pia yule dada alisema kuwa huwa lina hilo tatizo lakini hajatoa solution.
Ulidownload site gani. Me nilidownload repack ovagames.comOk ila mi kwangu linacheza
Windows 10 Ed
Kama kawa mimi www.oceanofgames.comUlidownload site gani. Me nilidownload repack ovagames.com
processor=Intel(R) celeron, cpu B820 1.7GHzTaja specs za pc yako
Lina gb ngapi nije unipe mkuu. Hilo game.processor=Intel(R) celeron, cpu B820 1.7GHz
RAM=2GB
je Graphics card yako ni ipiprocessor=Intel(R) celeron, cpu B820 1.7GHz
RAM=2GB
Intel(R) HD Graphics (PS4.0/VS4.0)=sijui ndio hiije Graphics card yako ni ipi
Mkuu msaada Wa link ya hitman absolute na asphalt 8Mkuu za kwangu ni kama zifuatazo:-
1.Hitman Absolution
2.Call of duty:GHOST
3.Grand theft auto(GTA)-V
4.Need for speed:Rival
5.Asphalt 8:airborne
Hizo gamez kk ni shedah yan zimetulia graphics na ni rahisi kuzimudu ndani ya muda mchache..
Kama huna uhakikaIntel(R) HD Graphics (PS4.0/VS4.0)=sijui ndio hii
Kama huna uhakika
nenda hapo kwenye start kisha search "run" ifungue hiyo run kisha type Dxdiag then nenda kwenye display hapo utapewa jina kamili la Gpu yako na size yake
mkuu ni hiyo kumbeKama huna uhakika
nenda hapo kwenye start kisha search "run" ifungue hiyo run kisha type Dxdiag then nenda kwenye display hapo utapewa jina kamili la Gpu yako na size yake
ina size ganimkuu ni hiyo kumbe