Best PC games

Mkuu, huyu mzee anaitwa Reznov.

They want to kill us Dimitri, once again they failed, once more we cheat death 'Kama broken mnisamehe'

Huyu mzee alinikosha kwenye Mission flani hivi wenzenu wengi wamekufa kisha yeye anakuwa hai kisha anakwambia ssshhhhh!!!

Baada ya hapo mnaanza taratiibu kwenda kumuua yule kiongozi wa Kijerumani.

Kama sikosei ni Call of Duty 5.

KWA MTU YOYOTE ANAYEHITAJI CALL OF DUTY 5 ANIONE.
Ukoo wapi mkuuu

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, huyu mzee anaitwa Reznov.

They want to kill us Dimitri, once again they failed, once more we cheat death 'Kama broken mnisamehe'

Huyu mzee alinikosha kwenye Mission flani hivi wenzenu wengi wamekufa kisha yeye anakuwa hai kisha anakwambia ssshhhhh!!!

Baada ya hapo mnaanza taratiibu kwenda kumuua yule kiongozi wa Kijerumani.

Kama sikosei ni Call of Duty 5.

KWA MTU YOYOTE ANAYEHITAJI CALL OF DUTY 5 ANIONE.
Mkuu uko sawa kabisa kuna sehem akaulizwa c mlikufa wote akajib I was among them bt not one of them katsha sana huyu kamanda sema silaha zake zakizaman sana
 
Dah wadau kuna bonge la Game linaitwa Resident Evil Revelations hili game ni funika yote Battlefield
Call of duty yaani hilo game liko kama unacheza kwa episodes mimi nimeishia ep 2 ep 3 inatoka mwaka huu
Ilo game nalikubali sana yani
 
Mkuu, sijacheza Mission ngumu ktk COD zote kama Mission iliyopo ktk Call of Duty 5 World at War, ile Mission ambayo mpo ndani ya vifaru. Ni mapambano ya vifaru kwa vifaru, Mission ilinisumbua saana ile Mkuu.
 
Dah wadau kuna bonge la Game linaitwa Resident Evil Revelations hili game ni funika yote Battlefield
Call of duty yaani hilo game liko kama unacheza kwa episodes mimi nimeishia ep 2 ep 3 inatoka mwaka huu
Ilo game nalikubali sana yani
Nikipata PC nitakutafuta Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom