Best PC games

Kuonekana bunduki na mikono ndo nzuri kuliko kuonekana mtu akiwa full, mtu unaona unacheza Game kabisa wakati ukiona mikono na silaha unajua kitu kama ni uhalisia.
 
Utanifanya niitafute hiyo Pes Mkuu, niliacha kucheza hiyo kitu tangu Pea 15 kama sikosei, mimi ni FIFA tu ila kwa sasa FIFA sijacheza tangu mwaka jana.

Kumbe PES 17 wamekuwa wazur hivyo?
 
Hakuna game ngumu km hii ya Igi 1,imekuwa hv kwa kuwa haina option ya kusave ulipofikia ukikosea lzm uanze upya.
Ha ha ha ha ha hii Game ndo imenifanya mimi nijue kucheza Games nyingi za Mission, hawa sio kama Call Of Duty, ukitwangwa risasi kadhaa unakaa chini kweli, hakuna sijui unajificha kisha uhai unarudi unaendelea na mapambano.

Hakuna Mission iliyonipasua kichwa na nikaonekana mimi ni fundi wa hii Game kama Mission flani hivi nadhani ni ya 3 kutoka mwisho, yenyewe ukimaliza kuna Helkopta unatoka nayo, ipo chini ya andaki kisha juu kunajifungua na Helkopta inatoka.

Hiyo Mission sio mchezo, wale maaskari wanaojifunika uso.
 
iv ps 2 ni shingapi na nzuri ni ipi kat ya iliochipiwa na ambayo aijafanyiwa makeke?
Mkuu, andaa pesa ununue XBOX 360 hata Used, iko vyema mno kuliko PS2. Nimecheza zote hizo, XBOX uzuri wake Pad unaweza ukazitumia kama wireless na ndani kuna Internal Storage.
 
Advanced warfare si nzur kama modern warfare...sijapenda kabisa mazingira yake plus weapons zile...mambo ya kubooth yale...na huo ujinga wakaleta kweny infinite warfare ndio maana wakapigwa bao na battlefield

Ukicheza battlefield huez jutia
Ngoja ntafute PC maana nilishaacha kucheza haya mambo.
 
Wakali wa magem
Nina PC ya HP i5 nmewekaa gemu la Truck simulator nikilifunguaa linaganda gandaa mpaka linaboa sjajua Tatizo ni Nini Kwenye upande wa PC
Truck Simulator ikatae kwenye Core i5? Acha utani Mkuu.
 
Mkuu IGI 2 niliona mizingua tu, ulivyomtaja priboi umenkumbusha mbali, jamaa na tumbo lake kubwaaaa. Mzembe mzembe sana huyu Priboi, hiyo Mission ambayo mnakuwa kwenye train kisha kuna jets zinakuja zinapiga reli halafu train linapinduka Priboi anakera ktk ile Mission, amekaa kizembe zembe mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…