Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,865
Nilicheza kitu kama demo hivi, ni nzuri sana ila binafsi hizi Games za vita na mission kwa sasa sijaona mpinzani wa Call Of Duty, muda si mrefu nataka nihamie Battlefield.
Ocean of GamesMkuu haya unayapata wapi if unadownload plz tusaidie link??
Napataje fifa 17 mkuu
We papushi hivi igi3 ndo ile pia imeandikwa "the mark"hili game nimeshindwa kulicheza, baada ya kumaliza pale anaingia mgodini, sehemu ilnayofuatia nimeshindwa
ndio mkuuWe papushi hivi igi3 ndo ile pia imeandikwa "the mark"
Fifa 17 PCNapataje fifa 17 mkuu
mimi games zangu ni za strategy tu napenda sana turn based games, nacheza age of heroes online (aoho), ancient empire, fire emblem, final fantasy, xcom enemy unknown, etc pia nacheza kidogo mpira tena PES tu, Fifa silipendi halina super Heroes
mi pia fifa silipendi wanadharau role za wachezaji wenye speed, chenga na skills nyengine bila kufanya build up hushindi kwenye fifa, timu kama Man u ya fergie, dortmund, na wengine huwezi kuzi simulate kwenye fifa, wao wanaona kila timu ni barcelona pasi tu.pes silipend maisha, goli unafunga robo uwanja
mi pia fifa silipendi wanadharau role za wachezaji wenye speed, chenga na skills nyengine bila kufanya build up hushindi kwenye fifa, timu kama Man u ya fergie, dortmund, na wengine huwezi kuzi simulate kwenye fifa, wao wanaona kila timu ni barcelona pasi tu.
hata pes inayo, na kwa muono wangu best career mode ipo pes 13 ambayo unaweza kuskip match, sababu inaboa kucheza mechi 50 kila msimu. unacheza tu mechi kubwa kubwa wakati zile ndogo ambazo hazina msisimko una skip,Mm fifa nacheza career kama manager naunda kikosi changu mwnyw ndio nafurahia kucheza aina ya mpira naotaka haswa ukianzia fifa 15 na kuendelea
Hata fifa kuna option ya simulation game inakuwa kama imechezwahata pes inayo, na kwa muono wangu best career mode ipo pes 13 ambayo unaweza kuskip match, sababu inaboa kucheza mechi 50 kila msimu. unacheza tu mechi kubwa kubwa wakati zile ndogo ambazo hazina msisimko una skip,
Ila chief naonaga ka pes sura za wachezaji wanalipua sana. Afu kama pes2016 nashangaa bundersliga haipo.mi pia fifa silipendi wanadharau role za wachezaji wenye speed, chenga na skills nyengine bila kufanya build up hushindi kwenye fifa, timu kama Man u ya fergie, dortmund, na wengine huwezi kuzi simulate kwenye fifa, wao wanaona kila timu ni barcelona pasi tu.
kwa fifa inabidi uangalie game wakati pes 13 unaskip, unaweza cheza ligi nzima ndani ya nusu saa, unaweza kwa fifa?Hata fifa kuna option ya simulation game inakuwa kama imechezwa
pes hawana license nyingi, kueka hivyo vitu vinavyomiss download pes edit na patch husika halafu vieke mwenyeweIla chief naonaga ka pes sura za wachezaji wanalipua sana. Afu kama pes2016 nashangaa bundersliga haipo.
Tatizo la fifa nalo viwango wanaweka vikubwa mno kuweza kurun game.
kwa fifa inabidi uangalie game wakati pes 13 unaskip, unaweza cheza ligi nzima ndani ya nusu saa, unaweza kwa fifa?
still dakika 1 ni kubwa humalizi msimu ndani ya nusu saa, kwa pes 13 ni sekunde au chini ya sekunde just click skip inakupa matokeo kutokana na ubora wa kikosi,Haichukui dakika moja simulation ya fifa
Nimejaribu kutafuta hizo patch nikiweka zinagoma inasema cannot read edited data because data is from defferent version. Yani niliweza kubadili jezi, logo na majina ya team basi.pes hawana license nyingi, kueka hivyo vitu vinavyomiss download pes edit na patch husika halafu vieke mwenyewe
nitajie game lako na version nikutafutie patchNimejaribu kutafuta hizo patch nikiweka zinagoma inasema cannot read edited data because data is from defferent version. Yani niliweza kubadili jezi, logo na majina ya team basi.