VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
- Thread starter
- #41
Hawezi kuongea eti ana force kuimba
Bora kunyamaza au kupiga marimba utasikika pia
BY 2O%-Tamaa mbaya
Mwanzo wa safari nakufuata kijana, nakuja na swali unipe jibu la maana
Dunia bila wizi hivi itawezekana, kama haiwezekani siku tukijaonana,
Nitakiweka mbali kisimu changu cha mchina, vijana wote nitawaona hamna maana
Tunarudishana nyuma mambo ya kuibiana, mwenzenu naona noma polisi kupelekana, yeaah.