Nlidhani tayari.
Nisaidie njia ya kuthibitisha zaidi. . .
Yeahhhh.Ulidhani tayari nini na wapi?
Au neno lako la kwamba wewe hucheat ndo ulidhani ni ithibati tosha?
Agree, most of them cheat. Nimewahi sema nikapondwa Na wadada wanaojitia moyo kuwa nikimkuta mpenzi/MUME wangu kacheat namuacha... Sijui wataacha wangapi?
I DONT CHEAT, and I know a few other guys who dont cheat as well.
Yeahhhh.
So. . . Ntathibitishaje?
Umefika wapi? Miti iko tayari njoo tulìshane basi.mie siwezi ishi kwa kugonganisha glass tu
labda tugonganishe meat, ai mini nataka nyama choma.
Mi nakubali wanaume wote wanacheat.
Duh . . . .
Kwa hiyo tuwe wote single kwa kuogopwa kuchitiwa.
innocent until proven guility.
nimewaambia msiocheat mnyooshe vidole mbona hujanyosha! Inabidi tuanzie research humu humu.
Inawezekana bana. . .Yup..haiwezekani na ndiyo maana uaminifu wa kimapenzi hubaki kuwa ni siri ya mtu moyoni na kwenye nafsi yake!
Habari za kutaka kuzungumzia wengine na kuwanyooshea vidole kwamba wao ndiyo wanaongozo kwenye uzinzi ni jaribio mfu na lisilo na matunda yoyote kwani hakuna anayejua.
Umefika wapi? Miti iko tayari njoo tulìshane basi.
I dont cheat na ninanyoosha vidole vyote vya mikono na miguu.
hahaha! Hongera.
Yes and the reason is hawataki kuepuka vishawishi.., and for most sex is just sex (no need to be emotionally attached), and they always think they will never get caught. Lakini its all in the mind na kuna a good number ambao hawacheat. Nadhani sababu 'It takes two to Tango' Tungesema a good number of people in relationship cheat, sababu unless you are doing it with a prostitute both the man and woman in action are all cheaters
Yup..haiwezekani na ndiyo maana uaminifu wa kimapenzi hubaki kuwa ni siri ya mtu moyoni na kwenye nafsi yake!
Habari za kutaka kuzungumzia wengine na kuwanyooshea vidole kwamba wao ndiyo wanaongozo kwenye uzinzi ni jaribio mfu na lisilo na matunda yoyote kwani hakuna anayejua.
Asante Mnyama Hatari.
Ndio maana mie mambo ya nani anacheat na nani hacheat huwa siyazungumzii sana.
Kuna watu wanaonekana waaminifu lakini wanacheat kwa siri hata ukiambiwa huamini.
Wengine wameenda mbali na kutafuta justification ya kwanini wanacheat.
Mwisho wa siku mie huwa naona uaminifu ni kama dini, ni aidha uwe muumini au usiwe muumini wa uaminifu.
Kwa anayeamini katika uaminifu atabaki kuwa mwaminifu daima haijalishi mazingira.
Kwa asiyeamini uaminifu, akipata sababu tu basi anavunja uaminifu.