Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

fungua pazia kabisa, nikifika nachoma ndani moja kwa moja, sirembi mwandiko leo.
Ngoja niangalie kama kuna vipiga chabo. Kuna vimjamaa huku bila kupiga chabo vikojoleo vyao havisimami. Watatuharibia stimu wakati tunapiga miti na kushushia na biya.
 
Mnyama Hatari

Not neccessarily . The tangling two can be made up of a cheating man, and a single lady! Such coupling obvioulsy nullifies bolded portions the above, wouldnt you say?????:A S 39:

So help me Mnyama Hatari,does that single lady cheat or she merely commits a plain fornication act?
 
Wala sitanii aisee. Ukitaka kujua habari kama hizi basi soma tabloids za Global Publishers. Na ni habari za kweli na wala si udaku maana jamaa hutoa na ushahidi wa picha kabisa!

Juzi juzi kuna mdada mjazito (mke wa mtu) alifumaniwa akifanya mapenzi kwenye kibajaji maeneo ya Kijitonyama na ushahidi wa picha ulikuwepo. Picha moja ilimuonyesha akijitahidi kutimua mbio huku kashikilia nguo yake ya ndani....sasa na lile tumbo unaweza ukajenga taswira yako mwenyewe ilikuwa ni kituko cha aina gani.
I can imagine that....
Alikuwa na mwenye mimba au alikuwa ana cheat akafumwa na yeye?
 
Hivi mzinifu na cheating zina maana sawa?

Mfano, kama hamjaoana ndoa halali nyote ni wazinifu bila kujali kuna anayetoka nje ya mahusiano hayo. Ni kweli hapa?

Kama mko kwenye mahusiano na mmoja akaenda nje ya hayo mahusiano ya wawili anacheat na kuzini, ni kweli?

Kamusi ya TUKI inafasili "zinifu" kama "adulterous".

Kamusi ya Oxford inafasili "adulterous" kama "sex between a married person and somebody who is not their husband or wife"
 
@bht
bora wee umeona hilo.

Hapa ni kuwa mkweli kwa nafsi yako tu, lakini hii ya kujionesha mbele za watu ndio tuko weengi sana.
 
So help me Mnyama Hatari,does that single lady cheat or she merely commits a plain fornication act?
Kama huyo huyo single lady anajua kuwa anayefanya naye ni mali ya mwingine basi na yeye ana cheat tu kwa kweli...
 
I can imagine that....
Alikuwa na mwenye mimba au alikuwa ana cheat akafumwa na yeye?

Mdada mwenye mimba ambaye ndiyo ilidaiwa ni mke wa mtu alifumwa akifanya mapenzi na mwanaume ambaye si mumewe. Ila haikusemwa aliyemfumania ndiye mumewe. Nadhani alifumaniwa na watu wengine tu na ikatokea mapaparazi wa Global Publishers walikuwa maeneo ya karibu na hivyo kuweza kupiga picha ya kisanga chote.
 
Hee kumbe akiwa prostitute anakuwa sio mwanamke tenaaaaa........mashikolo
Mkuu prostitution kuna baadhi ya sehemu ni kazi ambayo ni legal kabisa.., yeye yupo pale anauze commodity ambayo ni kumpa good time mtu anayenunua, hivyo basi hakuna anayemdanganya sababu yupo kazini na hana shida ya kumjua mnunuzi kama yupo single au ameshaoa...

Prostitutes are the most honest women..., you always know what you are getting... (cash for good time, no emotional involved, she will never lie to you that she loves you :smile-big🙂

and to clarify what I said and I repeat (unless a man is having sex with a prostitute, then both of them are cheaters..,) which means either they are cheating on their partners or one of them is stealing a husband or wife from the respective owner.
 
anamcheat nani?

Maana inahitajika awepo wa kucheatiwa.

Au anamcheat mwanamke wa mpenzi wake?

Kama huyo huyo single lady anajua kuwa anayefanya naye ni mali ya mwingine basi na yeye ana cheat tu kwa kweli...
 
@bht
bora wee umeona hilo.

Hapa ni kuwa mkweli kwa nafsi yako tu, lakini hii ya kujionesha mbele za watu ndio tuko weengi sana.
Ndio unafiki huo sasa, kujivika ngozi ya kondoo ilhali ndani wee mbwa mwitu tu...ukiachwa zizini unamliza.

Heri mchawi kuliko mnafiki Kongosho...
 
So help me Mnyama Hatari,does that single lady cheat or she merely commits a plain fornication act?

If you are single and you engage in a sexual relationship with a married man or woman knowing full well about his or her relationship status i.e. already spoken for, then you are as much a cheater as he/she is.
 
Mdada mwenye mimba ambaye ndiyo ilidaiwa ni mke wa mtu alifumwa akifanya mapenzi na mwanaume ambaye si mumewe. Ila haikusemwa aliyemfumania ndiye mumewe. Nadhani alifumaniwa na watu wengine tu na ikatokea mapaparazi wa Global Publishers walikuwa maeneo ya karibu na hivyo kuweza kupiga picha ya kisanga chote.
Nilitaka tu kujua kuwa alikuwa anacheat au lah...

Geeez, sasa hapo mtu na mimba yake na bado anakitembeza, kisha turudi tuseme wanaume wote wanacheat....!!!!!!!
 
Neno haswaa, unafiki umekuwa mkubwa sana.
Na umesababisha watu hatuaminiani kabisa tena.

Ndio unafiki huo sasa, kujivika ngozi ya kondoo ilhali ndani wee mbwa mwitu tu...ukiachwa zizini unamliza.

Heri mchawi kuliko mnafiki Kongosho...
 
Back
Top Bottom