Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

siyo wote ila asilimia kubwa hasa waliopo kwenye ndoa, km ww hujatimiza miaka 50 kenye ndoa yako basi na ww ni cheater mtarajiwa.
 
....basi most men cheat...
Yes and the reason is hawataki kuepuka vishawishi.., and for most sex is just sex (no need to be emotionally attached), and they always think they will never get caught. Lakini its all in the mind na kuna a good number ambao hawacheat. Nadhani sababu 'It takes two to Tango' Tungesema a good number of people in relationship cheat, sababu unless you are doing it with a prostitute both the man and woman in action are all cheaters
 
kweli mkuu hakuna mwanaume atakayebisha,labda askofu au padri
 
Yes and the reason is hawataki kuepuka vishawishi.., and for most sex is just sex (no need to be emotionally attached), and they always think they will never get caught. Lakini its all in the mind na kuna a good number ambao hawacheat. Nadhani sababu 'It takes two to Tango' Tungesema a good number of people in relationship cheat, sababu unless you are doing it with a prostitute both the man and woman in action are all cheaters

Sun Wu, you must be a genius!
 
Mbona hiki si kitu cha kushangaza jamani. Si wanaume si wanawake cheating is part of human nature. Na kama uko kwenye penzi then mwenzio anaku cheat haimaanishi kama hakupendi bali ana exercise rights/starehe zake ambazo anazikosa kwako. Kuna wengine wanapenda kufila lakini wanashindwa omba **** wake zao hivyo ulazimika kwenda nje; na wengine wanapenda kufilwa wanashindwa kuwaomba waume zao wawa sodomize. Niwaulize wana JF wenzangu; hamjawahi ona mtu ana bonge la wife lakini nje ana hawara hata marehemu Remmy anaonekana afadhali? Hii yote inatokana na kutoridhika na yule uliyenaye na huwezi mwacha kwa sababu zako za msingi, kwani starehe ya dunia ni kula na kuliwa na yule akuridhishaye kitandani si umpendaye. Kumbukeni, mara nyingi penzi linanoga mwanzoni then mkishaanza zoeana ile hamu ya penzi hutoweka, so it's very common mtu kusalitiwa kwenye penzi. Kilichobaki tu hapa ni kujikinga wakati unapotoka nje ya ndoa yako kwani utakapoenda kichwa kichwa huyo unaye dooo naye yuko ana doo ama analiwa na wengine wakati wewe haupo, tena kavu kavu, patamu hapo! Tukichukulia mademu wa hapa home ambao wengi ni ma lose balls, kwa kweli hali inatisha na ndiyo maana mtu inabidi kujikinga. Kwa hiyo hili suala la wanaume wote wana cheat ni kweli ila pia idadi kubwa ya kina mama iko hivyo hivyo. Tupo sawa ama tunashindana.
 
It takes two tango.

So if most men cheat so do most women. Period, end of story.

si ndio hapo sasa! lakini naona wanaoshabikia kwamba wanaume wanachiti wanasahau
ukweli kwamba hao wanaume wanachiti na wanawake. au ndio kusema wanawake wanaotoka na
wanaume wao wapo huru/single na/au ni changudoa.
majuzi tu magazeti yalioyesha picha za wake za watu wakipelekwa kwa pilato kwa kutuhumiwa
uchangu.
 
Jamii inapenda tu kukumbatia dhana potofu na zile za uongo.

Na ndiyo maana hata kuna ambao hupenda kudiriki kuhalalisha uzinifu wa wanawake. Utawasikia wenyewe wakisema eti 'mwanamke akicheat basi kuna sababu'.

How stupid these people are is beyond comprehension.
 
siyo kweli kwamba wanaume wote wanacheat kama ambavyo siyo kweli kwamba wanawake wote hucheat... wengine wanaridhika na wenzi walionao na hawaoni haja ya kutoka nje ya mahusiano yao
 
Back
Top Bottom