Inawezekana bana. . .
Kama mtu yuko open na hamna zile boundaries za "privacy" ni rahisi sana kuthibitisha kama "ni" au "sio" cheater.
Kuzungumzia watu wengine nayo ni rahisi kwa kiasi fulani maana wanaonekana. Ila sio sahihi kuamulia kundi fulani kwamba wao wote ni cheaters.
Asante.Wewe je?
Maelezo mazuri sana ngoja nikugongee 'like'.Swali kwako Kongosho wewe unacheat au haucheat? No or Yes?
mimi sina wa kumcheat, labda nijicheat mwenyewe.
Na mimi nikuulize, huyo A anajua B ana mahusiano mengine au laa?ha ha ha ha, kabla sijajibu naomba kuuliza hili.
Kama A yuko single afu akawa na mahusiano na B, wakati B tayari yuko kwenye mahusiano mengine yanayofahamika, je na A anacheat??
mimi sina wa kumcheat, labda nijicheat mwenyewe.
ha ha ha ha, kabla sijajibu naomba kuuliza hili.
Kama A yuko single afu akawa na mahusiano na B, wakati B tayari yuko kwenye mahusiano mengine yanayofahamika, je na A anacheat??
Na mimi nikuulize, huyo A anajua B ana mahusiano mengine au laa?
A anafanya kama Husninyo anacheat kisela.
anajua kabisa.
It takes two tango.
So if most men cheat so do most women. Period, end of story.
Bajaj? Duuuh wakitoka hapo wanahitaji masaji...lol!ingawa siku hizi wapo ambao hungonoka kwenye vibajaji pia.
Ha ha ha ha ha, umenichekesha kimsamba msamba.
Full stop.Basi naye huyo ni mzinifu asilimia 100. Hakuna udhuru.
Mnyama Hatari
Not neccessarily . The tangling two can be made up of a cheating man, and a single lady! Such coupling obvioulsy nullifies bolded portions the above, wouldnt you say?????:A S 39:
Basi naye huyo ni mzinifu asilimia 100. Hakuna udhuru.
Na wewe kama A nini?
Bajaj? Duuuh wakitoka hapo wanahitaji masaji...lol!
Husninyo mimi huwa nachukulia kumdanganya mwingine in the real sense unajidanganya mwenyewe maana huyo unayedhani unamdanganya hajua kuna version nyingine ya ulichosema lakini wewe ndo unajua...mimi sina wa kumcheat, labda nijicheat mwenyewe.