Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

Nilitaka tu kujua kuwa alikuwa anacheat au lah...

Geeez, sasa hapo mtu na mimba yake na bado anakitembeza, kisha turudi tuseme wanaume wote wanacheat....!!!!!!!

Cheating has no boundaries. Anyone can cheat and anyone can be a victim be it men, women, white, black, brown, yellow, Jew, gentile, atheist, theist, etc.
 
you must love it because that is the way it is. Nimemdhibiti na kakubaliwa kudhibitiwa.
Nimeipenda kwa kuwa mie hiyo ni imani yangu pia....Kongosho kasema innocent till proven guilty.

Mie si kwa kumdhibiti or anything close to that...basi tu nadhani alinifanya tu nikaamini hivyo from the go

Sasa FA unamdhibiti vipi mtu mzima na akili zake? Uaminifu si kuwa utokane tu na mapenzi ya kweli na heshima baina ya wenza au?
 
Duuuuuuh......!!!!!


Mbona hiki si kitu cha kushangaza jamani. Si wanaume si wanawake cheating is part of human nature. Na kama uko kwenye penzi then mwenzio anaku cheat haimaanishi kama hakupendi bali ana exercise rights/starehe zake ambazo anazikosa kwako. Kuna wengine wanapenda kufila lakini wanashindwa omba **** wake zao hivyo ulazimika kwenda nje; na wengine wanapenda kufilwa wanashindwa kuwaomba waume zao wawa sodomize. Niwaulize wana JF wenzangu; hamjawahi ona mtu ana bonge la wife lakini nje ana hawara hata marehemu Remmy anaonekana afadhali? Hii yote inatokana na kutoridhika na yule uliyenaye na huwezi mwacha kwa sababu zako za msingi, kwani starehe ya dunia ni kula na kuliwa na yule akuridhishaye kitandani si umpendaye. Kumbukeni, mara nyingi penzi linanoga mwanzoni then mkishaanza zoeana ile hamu ya penzi hutoweka, so it's very common mtu kusalitiwa kwenye penzi. Kilichobaki tu hapa ni kujikinga wakati unapotoka nje ya ndoa yako kwani utakapoenda kichwa kichwa huyo unaye dooo naye yuko ana doo ama analiwa na wengine wakati wewe haupo, tena kavu kavu, patamu hapo! Tukichukulia mademu wa hapa home ambao wengi ni ma lose balls, kwa kweli hali inatisha na ndiyo maana mtu inabidi kujikinga. Kwa hiyo hili suala la wanaume wote wana cheat ni kweli ila pia idadi kubwa ya kina mama iko hivyo hivyo. Tupo sawa ama tunashindana.
 
Cheating has no boundaries. Anyone can cheat and anyone can be a victim be it men, women, white, black, brown, yellow, Jew, gentile, atheist, theist, etc.
Very true...

Kule ulipoandika zinifu na adulterous na sex...umenikumbusha TUKI yangu...utantaka!
 
If you are single and you engage in a sexual relationship with a married man or woman knowing full well about his or her relationship status i.e. already spoken for, then you are as much a cheater as he/she is.

Unamcheat nani sasa, wakati hujampromise yoyote kuwa utakuwa faithful kwake mpaka kifo kiwatenganishe!
 
If you are single and you engage in a sexual relationship with a married man or woman knowing full well about his or her relationship status i.e. already spoken for, then you are as much a cheater as he/she is.

Then based on your explanation and bht's i've come to a consesus with my understanding that being single doesn't make a person less of a cheater since most of the times he/she knowingly does the act behind someone's back.
 
Husninyo mimi huwa nachukulia kumdanganya mwingine in the real sense unajidanganya mwenyewe maana huyo unayedhani unamdanganya hajua kuna version nyingine ya ulichosema lakini wewe ndo unajua...

Sasa hapo umejiongopea mwenyewe tu...upuuzi mtupu. Kama Mtu unataka kuwa mkweli kuwa mkweli kwa nafsi yako mwenyewe....
Lakini watu tunahangaika na 'ntaonekanaje? Ntafikiriwaje?'

nitaonekanaje nitafikiriwaje na nani? Niogope ili iweje! Nitamcheat nani wakati nipo mwenyewe? Kama imani yako ni ndogo juu ya watu basi usipende kuhukumu.
 
Ngoja niangalie kama kuna vipiga chabo. Kuna vimjamaa huku bila kupiga chabo vikojoleo vyao havisimami. Watatuharibia stimu wakati tunapiga miti na kushushia na biya.

Naomba chabo mkuu, hata ya kulipia!
 
If you are single and you engage in a sexual relationship with a married man or woman knowing full well about his or her relationship status i.e. already spoken for, then you are as much a cheater as he/she is.

Nop. Why you ask? As per the described example above, looking at the two
  • The married mad is obvisiouly cheating on his wife
  • The single lady is cheating on ....................... ?

Ps
Please don't bother answering if all you can come up with the guy's wife as well! Maana unless the single lady in quen has ever sworn a forever and/or agreed to be in a monogomous committed relationship with the guys wife, there is no fidelity owing on her part, as far as the marriage of two is concerned!
 
Ndio, unaweza kuji-cheat mwenyewe pia.

Mfano uko single na umeamua kutulia hadi umpate partner anayeelekea kuwa serious kimahusiano.

Hapo kati kati nguvu za mwili zinazidi na unaamua kufanya =ne night stand'
tayari hapo umeshaji-cheat mwenyewe lol

duh! Hii mpya.
 
nitaonekanaje nitafikiriwaje na nani? Niogope ili iweje! Nitamcheat nani wakati nipo mwenyewe? Kama imani yako ni ndogo juu ya watu basi usipende kuhukumu.
Whoa whoa whoa...
Nadhani umenisoma ndivyo sivyo...
Anyway nilichokuwa najaribu kusema ni kusisitizia tu point uloandika kuwa 'utakuwa unajicheat mwenyewe'
Kwamba wengi mie huwa naamini kumdanganya mwingine ni kujidanganya mwenywe...do you get the concept now?
 
There are some men and women who don't cheat, ingawa ukilinganisha na wanaocheat, idadi yao ndogo!

Na ukilinganisha wanaume na wanawake cheaters wanaume ni wengi zaidi.

Nafikiri pia sababu za kucheat kati ya wanawake na wanaume pia hutofautiana.

Pia nafikiri kinamama (some) hucheat as a reaction ya cheating za waume zao, na sidhani kama wanaume hucheat kwa sababu hiyo (kwa vile mkewe amecheat).
 
Kila siku nawaambiaga watu hii makitu lakini wanabisha. Kuna kautafiti kengine nlikafanyaga nikagundua kuwa kama mwanaume hacheat basi mkewe anacheat. Nawasihi wanaume endeleeni kucheat responsiby ili wake zenu wasiwacheat. Atakayepinga au kuquote hii post lazima atakuwa cheater mzuri. Amina.

asprin ulijuaje? yaani km mimi nacheat hadi naona aibu mwenyewe!!! maisha ya mapenzi yamejaa unafiki, uongo wizi n.k na mapenzi bila cheating hata hayanogi. cha msingi hapa USISHIKWE!
 
Back
Top Bottom