Bernie Sanders atakaa asahau kipigo alichokipata super Tuesday

Katika vitu ambavyo Bernie haamin ni matokeo ya super Tuesday, nadhani sio Bernie Sanders almost Kila mtu haamini kinachotokea

Na ni ishara nyingine marekani hawako tayari na socialism,

Babu wamemduwaza Hadi huruma,
ushindi wa 9 STATES Biden kajua kuzichanga karata zake
 
Katika vitu ambavyo Bernie haamin ni matokeo ya super Tuesday, nadhani sio Bernie Sanders almost Kila mtu haamini kinachotokea

Na ni ishara nyingine marekani hawako tayari na socialism,

Socialism,Communism ,Umagufulism,na upumbavu mwingine wowote ni za kutupa huko

System za kipumbavu sana

Halafu kuna majinga humu ndio yanapenda kusikia Magufulism and that nonsense!

Huu ujinga maendeleo mwiko kabisa

Kila siku Kenya wataendelea kutuburuza kwenye kila kitu!
 
Kinachoendelea kutoka kwa Democrats ni panic.

Ndo maana mnaona ghafla bin vuu Joe Biden anaanza kuungwa mkono kwa papara na wanachama wa chama chake.
 
Mr Sanders anapoteza pesa na muda wake
Ajiunge na Biden waliendeshe gurudumu
I prefer Trump ana mapungufu mengi lakini kiimani namkubali
Democrats ni ushoga tu ndio wanaupigania nothing else
 
Mr Sanders anapoteza pesa na muda wake
Ajiunge na Biden waliendeshe gurudumu
I prefer Trump ana mapungufu mengi lakini kiimani namkubali
Democrats ni ushoga tu ndio wanaupigania nothing else
Mbona Hawaja declare wanapigania ushoga
 
Kinachoendelea kutoka kwa Democrats ni panic.

Ndo maana mnaona ghafla bin vuu Joe Biden anaanza kuungwa mkono kwa papara na wanachama wa chama chake.
Hiyo panic ni sababu hawana Imani na wagombea wao?
 
Back
Top Bottom