Bernard Membe: Nikitua toka Dubai nitaongea na Wanahabari, Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais

“Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press Conference Airport. Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais inayoanzia Tabora wiki hii hadi October 26”. Bernard Membe.
Nae anataka kuona Kama atapokelewa😂
 
Hahaaa...... Jasusi kachero mbobezi bana bado yupo kikazi zaidi na payslip inasoma vzr kabisaaa
 
Ukweli tunaujua hakwenda kwaajili ya matibabu anatudanganya,Kafanyiwa Matibabu kwa siku moja na tayari ashapona sio kweli.
Tunajua alienda kuchukua pesa kwaajili ya kampeni huko kwenye account zake Dubai
 
Natabiri Kachero Mbobezi leo anamwaga manyanga rasmi baada ya kuona upepo unamwendea kombo.
 
Upepo wa JF umebadili uelekeo kutoka #2020TwendeNaMembe kwenda kwa ....
 
IMG-20200915-WA0015.jpg
 
Bado hataki kumuachia Lissu uwanja au ndio ametumwa?
Kwa hiyo wale wagombea wote ambao hawataki kumwachia Lissu wametumwa? Au Membe peke Yake ndo anatakiwa kumwachia Lissu? Acheni uoga mwambieni apambane asitake kulialia eti aachiwe.
 
Membe katuangusha,lakini ebu tusubiri atakavyotumia muda uliobaki.
Najiuliza huyu Membe ndie yule yule smiling face na waziri machachari alietaka kuchukuwa uraisi 2015?
 
Back
Top Bottom