Bernard Membe: Nikitua toka Dubai nitaongea na Wanahabari, Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais

Huyu nae si aache tu. Hivi haoni aibu ?Halafu 2025 atakuwa mmoja wa watia nia kupitia CCM. Amwachie Lissu bwana this time.
Kwani Membe yuko chadema Hadi amwachie Lissu? Kila siku mnasema Lissu atakuwa rais October Sasa Membe wa Nini tena? Acheni kujilizaliza eti aachiwe!
 
Wazo fikirishi
Kipindi Mangula kabwia sumu Membe kachero mbobezi alikua nje ya nchi.

Kipindi hichi kachero mbobezi yupo nje Kuna kunguru mmoja kaamua kwenda kujifungia kwao huko.

Na najua leo tarehe 15/09 Hatotoka kabisa chumbani ata chakula hatokula. Haumwamini ata msaidizi wake.

Nahisi anajua yeye ndo target.
Dua lako la kuku! Shuhudia

 
Back
Top Bottom