Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Mkuu pole sana, hivi unapo iona post zako kama hizi kipindi hichi huwa unajisikiaje? pia si vizuri kuwaaminisha watu kuwa wewe ni usalama wa Taifa sijajua lengo lako hasa lilikuwa nini?
 
Mkuu pole sana, hivi unapo iona post zako kama hizi kipindi hichi huwa unajisikiaje? pia si vizuri kuwaaminisha watu kuwa wewe ni usalama wa Taifa sijajua lengo lako hasa lilikuwa nini?

Ni wapi nimesema kuwa Mimi ni USALAMA WA TAIFA? Pumbafu mkubwa! Mnang'ang'ania tu kuileta post hii kila mara mbona ile ya mwisho niliowahakikishia majina matano na matatu ya mwisho ya Mchujo wa CCM ambapo nilisema tena kwa kujiamini kabisa kuwa John Magufuli atapita hamuileti humu? au hamjui ilipo? Halafu kuna ile nyingine nilisema ' Mpuuzi ' wenu mmoja hawezi kuwa Rais nchi hii labda wa Ng'ombe zake kwa sababu kadhaa za Kiafya zinazomkabili na nikasema mbona hiyo post nayo hamuipandishi humu? Endeleeni kuibua tu hizi ' zilipendwa ' zenu na kama mnadhani mtafanikiwa katika mpango wenu wa kuondoa ' Credibility ' yangu humu JF nadhani mtakuwa mnajisumbua kama siyo kupoteza muda wenu huku mwenzenu nikizidi tu ' kutiririka ', ' kupendwa ', ' kufuatiliwa ' na ' kukubalika '.
 
ni uongo uliotukuka huu.
 
Ndugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
Kuna miaka kazaa nyuma..Uyu Benard membe nilisha wahi kumuona Canada akiwa ndo Dereva wa Balozi Enzi hizo..ilikuwa 2003. Una taarifana na ili..na je alikuwa na kaz maalum pale Canada? Make uzi wakonumefanya niamini uyu jamaa labda alikuwa ni usalama wa kujua abc za watz qanao ishi Canada au watu wa Canada walikuwa na plan gani na tz..Nilistukansana nilipokuta jamaa amekuwa wazir ..from Udereva...ilinipa shida kidogo...ila uzi wako umenipa....majibu fulani.
 
Ikawaje tena?
 
Wanaohusika na ujumbe.
Haya mambo ya kusikiasikia nayo....imagine kati ya anayeandika kwa kujiamini kabisa halafu kitu alichoandika kikawa tofauti n.a. yule anayesikia nani anaweza kuonekana hayuko sawa sawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
 
Hakuwa dereva labda kama ulimuona akimpa lifti balozi. Alikuwa mshauri wa balozi.
 
nana unajaribu kutaka kutuaminisha jf kuwa jk nae alikuwa ni usalama.
 
Hakuwa dereva labda kama ulimuona akimpa lifti balozi. Alikuwa mshauri wa balozi.
ha ha ha jf bana utafikiri watu wako tungi vile sometimes, yaani akimuona mtu kampa lift baluzi au waziri au meneja basi ni dereva wake tu mweee
 
Watanzania wamekukumbuka kwa busara, tambo, na tabasamu lako. Wamebaki na neno LAITI
 
Ulisha kufa mkuu
 
[emoji38]
 
Najua Kinachowauma Ni Kwamba Kwanini NYIE Mliopo Humo JIKONI Kwenu Hampewi Na Hamna Habari Hizi NYETI Na KUBWA Lakini GENTAMYCINE Mtu Wa Kawaida Sana Naheshimika Hadi Napewa Taarifa. Na Mtaninunia Na Kunichukia Sana Mwaka Huu Kudadadeki!
Mwenye taarifa zake
 
Aiseee!!!
 
Hivi ulishapigwa mawe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…