Bernard Membe enzi za ujana wake

Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Duh!Kwa jinsi alivyopaniki huyu bwana 100% Muhongo inabidi nipite kimyakimya tu.Naogopa mitusi yake.

Ubarikiwe kwa hayo maono yako Mkuu kwani na Wewe ungejijaza tu katika frame ningekuwasha kama kawaida ili tuheshimiane vizuri humu. Ama hakika una Mungu!
 
Muandika uzi nahisi kuna uzi ulikatika some where. Unapitisha mgombea uraisi kutokea bara na makamu kutokea bara pia. Hujui katiba inasemaje kuhusu rais na makamu wake? Lazima watoke pande zote za muungano
 
Kamuulize kwanza aliyekuzaa kuwa bado yupo na yule yule Basha wake wa Tandale Uzuri au ameshaachana nae na sasa karudisha majeshi yake yote kwa Mshua wako hapo Mwananyamala Kwenu?
hahahahaha unajifanya una intelejensia kali kumbe bogasi kama bashite tu, unakumbushwa ahadi yako maneno yanakuponyoka tu.

unajifanya kuchukua nafasi ya marehemu shekhe yahaya et raisi muhongo mara kinana boya sana ww
 
Tena kwa kukusaidia tu ni kwamba siijui tu Tanzania yako pekee bali nazijua pia Uganda na Rwanda kuliko pengine hata Waganda na Wanyarwanda wenyewe wanavyozijua. Sijui una lingine Mkuu? Halafu kuhusu Mimi kuwa najua kila kitu lawama usinipe Mimi tafadhali bali mlaumu Mwenyezi Mungu kuwa kwanini kanipa Mimi tu huu uwezo mkubwa wa IQ na kuwa very knowledgeable halafu Wewe kakuacha na huo Ungumbaru wako? Halafu ukiona Mtoto ana akili nzuri jua kuwa hata Kolabo ya Wazazi wake nayo ilikuwa ni ya Majiniasi watupu sasa Wewe kama wa Kwako waliokotezena tu huko mmoja katoka kwenye TB nyingi na mwingine katoka katika Pepopunda iliyotukuka kamwe usitegee product yao ambayo ni Wewe ukawa na AKILI kubwa, za hatari na zilizobarikiwa kama za GENTAMYCINE.
IQ za kijinga namna hiyo sijapata kuziona wenye IQ huonwa na watu hawajioni wenyewe, usitake kujionesha kuwa wewe ni mjuzi wa mambo mbeleni unaaibika kwa upumbavu na uropokaji wako usio na tija.

IQ za kijinga namna hiyo zipo huko kwenu sio hapa jamii forum penye watu wa kila aina, hii Nchi huijui hata sudusi acha kutikisa nyonga zako kwa kulisha watu uchafu wako wa ubongoni huo ili waamini kile unachosema.

Sasa huyo rais wako uliyekuwa unaapa na kurudia kuwa ni yeye yuko wapi au ulikuwa unaota? Ukikaa na watu acha kiherehere cha kuonekana kuwa mjuaji kwenye hakuna, hakuna lolote unajua hapa Nchini tofauti na bei ya sukari kaa unyamaze ufanye yako sio kujinadi hapa una IQ za kipumbavu na zisizo na maana yoyote.

Wenye IQ wakiwa kama wewe ni wazi kuwa tuna janga kubwa sana, unatunisha misuli kuwa umetoa habari jikoni jiko gani hilo? Wamekuona ni kilaza wanakugeuza kama chapati kwa kukupa utitiri wa madudu uje kubandika hapa bila kuwaza na kuchambua.

Huna IQ yeyote wenye IQ hujulikana kupitia watu sio wao wenyewe, Unatia sana Aibu.
 
Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.

1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)

2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)

3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)

4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)

NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
hahaha naona hapa wapishi walikupa ukoko tena ulio unguaa
 
Tatizo la hili dudu kila lipatalo huko kwenye vijiwe vya ugoro linaleta humu sasa hizo asilimia 100 za ukweli juu ya haya aliyoandika mbona hajaja kuyazungumzia.

Akiguswa anapanua domo kujibu watu utumbo uliopo kwenye nyonga zake, sitakubali mimi na nitapambana na upuuzi wake hadi siku akikaa sawa akili.
 
Ndugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
Jamaa safi kabisa hiz kaz za wazalendo tu
 
Na Usisahau Kuwa Akiwa Huko Huko ULIKOKUTAJA Rais Wako Wa Sasa Alikuwa Anaripoti Kwa Bernard Membe Yaani Bernard Membe Alikuwa Ni Senior Kwa JK Wakiwa Idarani Na Ndiyo Maana JK Anamweshimu Na Anamwogopa Mno Bosi Wake Wa Zamani Bernard Membe. Kitaalamu Na Kisaikolojia Ya Kujasusi Macho Tu Hayo Ya Bernard Membe

Ni Qualification Tosha Ya Yeye Kuwa Jasusi Kwani Yanaelezea Uimara Wake. Nahisi Hata Waliomfanyia Thorough Vetting Hawakupata au Kutumia Muda Mwengi Kwake. ILA Kwa Kazi Ya Urais HAFAI, HAIWEZI Na HATOIPATA Kwa Sababu Zangu Kubwa 15 Ninazozijua Za Kumuhusu Yeye.

ATASUBIRI SANA TU!

Mojawapo ni majivuno yaliyopita kisasi.
 
Mojawapo ni majivuno yaliyopita kisasi.
Huyu alizidi alifika mahali alikuwa anajiona tayari kawa Rais mpaka uongeaji alikuwa anamuiga JK..Sasa alipopigwa kata funua naona hajazinduka mpaka leo..Nadhani yuko mtama anapumzika
 
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)

2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)

3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)

4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)

NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.

Popoma ungekuwa mganga wa kienyeji ningekuja kudai pesa yangu.huu utabiri wako ni zero kabisa haukukaribia ukweli hata chembe.

dah!! we jamaa ulitulisha sana matango pori miaka ile,mungu anakuona aisee.
 
Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.

1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)

2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
Hahahahahahahaha..... Siju sura yako utaichimbia wapi......
 
Hata siku nyingine unaweza ukawa umeenda haja kubwa katika shimo la choo na ukakosea na kuubwaga mzigo wowote pembeni wakati ulikuwa huna kawaida hiyo kwakuwa umebobea ki shabaha kwa muda mwingi kama siyo mrefu.
 
Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.

1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)

2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)

3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)

4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)

NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Ulichemka
 
Muhongo Hawi Waziri Mkuu BALI Nakuhakikishia Kuwa Professor Sospeter Muhongo Ndiyo Rais MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Hiyo Mtake Msitake Mchukie Na Mpende Na NIMESHAWEKA HAPO NADHIRI YANGU KWENU KUWA KAMA YASIPOTOKEA HAYO YOTE NILIYOYAELEZEA HAPO NITAJITOKEZA HADHARANI WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE!
Walikupiga mawe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom