Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Ukiona mwanaume unajinadi kuwa unaleta habari za jikoni hapa ujue anaweza kupewa hata Ndonga huko jikoni.
Mkuu pole sana, hivi unapo iona post zako kama hizi kipindi hichi huwa unajisikiaje? pia si vizuri kuwaaminisha watu kuwa wewe ni usalama wa Taifa sijajua lengo lako hasa lilikuwa nini?Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.
Mkuu pole sana, hivi unapo iona post zako kama hizi kipindi hichi huwa unajisikiaje? pia si vizuri kuwaaminisha watu kuwa wewe ni usalama wa Taifa sijajua lengo lako hasa lilikuwa nini?
ni uongo uliotukuka huu.Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Kuna miaka kazaa nyuma..Uyu Benard membe nilisha wahi kumuona Canada akiwa ndo Dereva wa Balozi Enzi hizo..ilikuwa 2003. Una taarifana na ili..na je alikuwa na kaz maalum pale Canada? Make uzi wakonumefanya niamini uyu jamaa labda alikuwa ni usalama wa kujua abc za watz qanao ishi Canada au watu wa Canada walikuwa na plan gani na tz..Nilistukansana nilipokuta jamaa amekuwa wazir ..from Udereva...ilinipa shida kidogo...ila uzi wako umenipa....majibu fulani.Ndugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
Ikawaje tena?Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Haya mambo ya kusikiasikia nayo....imagine kati ya anayeandika kwa kujiamini kabisa halafu kitu alichoandika kikawa tofauti n.a. yule anayesikia nani anaweza kuonekana hayuko sawa sawaWanaohusika na ujumbe.

Hakuwa dereva labda kama ulimuona akimpa lifti balozi. Alikuwa mshauri wa balozi.Kuna miaka kazaa nyuma..Uyu Benard membe nilisha wahi kumuona Canada akiwa ndo Dereva wa Balozi Enzi hizo..ilikuwa 2003. Una taarifana na ili..na je alikuwa na kaz maalum pale Canada? Make uzi wakonumefanya niamini uyu jamaa labda alikuwa ni usalama wa kujua abc za watz qanao ishi Canada au watu wa Canada walikuwa na plan gani na tz..Nilistukansana nilipokuta jamaa amekuwa wazir ..from Udereva...ilinipa shida kidogo...ila uzi wako umenipa....majibu fulani.
nana unajaribu kutaka kutuaminisha jf kuwa jk nae alikuwa ni usalama.Na Usisahau Kuwa Akiwa Huko Huko ULIKOKUTAJA Rais Wako Wa Sasa Alikuwa Anaripoti Kwa Bernard Membe Yaani Bernard Membe Alikuwa Ni Senior Kwa JK Wakiwa Idarani Na Ndiyo Maana JK Anamweshimu Na Anamwogopa Mno Bosi Wake Wa Zamani Bernard Membe. Kitaalamu Na Kisaikolojia Ya Kujasusi Macho Tu Hayo Ya Bernard Membe
Ni Qualification Tosha Ya Yeye Kuwa Jasusi Kwani Yanaelezea Uimara Wake. Nahisi Hata Waliomfanyia Thorough Vetting Hawakupata au Kutumia Muda Mwengi Kwake. ILA Kwa Kazi Ya Urais HAFAI, HAIWEZI Na HATOIPATA Kwa Sababu Zangu Kubwa 15 Ninazozijua Za Kumuhusu Yeye.
ATASUBIRI SANA TU!
ha ha ha jf bana utafikiri watu wako tungi vile sometimes, yaani akimuona mtu kampa lift baluzi au waziri au meneja basi ni dereva wake tu mweeeHakuwa dereva labda kama ulimuona akimpa lifti balozi. Alikuwa mshauri wa balozi.
Muhongo akikosa kuteuliwa kugombea Urais, basi ujue ndio Waziri wako Mkuu mpya 100%

Ulisha kufa mkuuKama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.
Muhongo Hawi Waziri Mkuu BALI Nakuhakikishia Kuwa Professor Sospeter Muhongo Ndiyo Rais MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Hiyo Mtake Msitake Mchukie Na Mpende Na NIMESHAWEKA HAPO NADHIRI YANGU KWENU KUWA KAMA YASIPOTOKEA HAYO YOTE NILIYOYAELEZEA HAPO NITAJITOKEZA HADHARANI WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE!

Mwenye taarifa zakeNajua Kinachowauma Ni Kwamba Kwanini NYIE Mliopo Humo JIKONI Kwenu Hampewi Na Hamna Habari Hizi NYETI Na KUBWA Lakini GENTAMYCINE Mtu Wa Kawaida Sana Naheshimika Hadi Napewa Taarifa. Na Mtaninunia Na Kunichukia Sana Mwaka Huu Kudadadeki!
Eti boss na wewe pia kitengo kumbeSiwezi Kumvunjia Heshima Humu Bosi ILA Wewe Jua Tu Hivyo Mkuu. Anafaa Kuwa Vice President AU Premier Tu ILA Siyo Urais Wa Nchi!
Aiseee!!!Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Hivi ulishapigwa mawe?Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.