GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,450
- 127,624
Duh!Kwa jinsi alivyopaniki huyu bwana 100% Muhongo inabidi nipite kimyakimya tu.Naogopa mitusi yake.
hahahahaha unajifanya una intelejensia kali kumbe bogasi kama bashite tu, unakumbushwa ahadi yako maneno yanakuponyoka tu.Kamuulize kwanza aliyekuzaa kuwa bado yupo na yule yule Basha wake wa Tandale Uzuri au ameshaachana nae na sasa karudisha majeshi yake yote kwa Mshua wako hapo Mwananyamala Kwenu?
IQ za kijinga namna hiyo sijapata kuziona wenye IQ huonwa na watu hawajioni wenyewe, usitake kujionesha kuwa wewe ni mjuzi wa mambo mbeleni unaaibika kwa upumbavu na uropokaji wako usio na tija.Tena kwa kukusaidia tu ni kwamba siijui tu Tanzania yako pekee bali nazijua pia Uganda na Rwanda kuliko pengine hata Waganda na Wanyarwanda wenyewe wanavyozijua. Sijui una lingine Mkuu? Halafu kuhusu Mimi kuwa najua kila kitu lawama usinipe Mimi tafadhali bali mlaumu Mwenyezi Mungu kuwa kwanini kanipa Mimi tu huu uwezo mkubwa wa IQ na kuwa very knowledgeable halafu Wewe kakuacha na huo Ungumbaru wako? Halafu ukiona Mtoto ana akili nzuri jua kuwa hata Kolabo ya Wazazi wake nayo ilikuwa ni ya Majiniasi watupu sasa Wewe kama wa Kwako waliokotezena tu huko mmoja katoka kwenye TB nyingi na mwingine katoka katika Pepopunda iliyotukuka kamwe usitegee product yao ambayo ni Wewe ukawa na AKILI kubwa, za hatari na zilizobarikiwa kama za GENTAMYCINE.
hahaha naona hapa wapishi walikupa ukoko tena ulio unguaa[emoji23] [emoji23]Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Tatizo la hili dudu kila lipatalo huko kwenye vijiwe vya ugoro linaleta humu sasa hizo asilimia 100 za ukweli juu ya haya aliyoandika mbona hajaja kuyazungumzia.hahaha naona hapa wapishi walikupa ukoko tena ulio unguaa[emoji23] [emoji23]
Jamaa safi kabisa hiz kaz za wazalendo tuNdugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
Na Usisahau Kuwa Akiwa Huko Huko ULIKOKUTAJA Rais Wako Wa Sasa Alikuwa Anaripoti Kwa Bernard Membe Yaani Bernard Membe Alikuwa Ni Senior Kwa JK Wakiwa Idarani Na Ndiyo Maana JK Anamweshimu Na Anamwogopa Mno Bosi Wake Wa Zamani Bernard Membe. Kitaalamu Na Kisaikolojia Ya Kujasusi Macho Tu Hayo Ya Bernard Membe
Ni Qualification Tosha Ya Yeye Kuwa Jasusi Kwani Yanaelezea Uimara Wake. Nahisi Hata Waliomfanyia Thorough Vetting Hawakupata au Kutumia Muda Mwengi Kwake. ILA Kwa Kazi Ya Urais HAFAI, HAIWEZI Na HATOIPATA Kwa Sababu Zangu Kubwa 15 Ninazozijua Za Kumuhusu Yeye.
ATASUBIRI SANA TU!
Huyu alizidi alifika mahali alikuwa anajiona tayari kawa Rais mpaka uongeaji alikuwa anamuiga JK..Sasa alipopigwa kata funua naona hajazinduka mpaka leo..Nadhani yuko mtama anapumzikaMojawapo ni majivuno yaliyopita kisasi.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Hahahahahahahaha..... Siju sura yako utaichimbia wapi......Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
Hahahahahahahaha..... Siju sura yako utaichimbia wapi......
UlichemkaHao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Walikupiga mawe?Muhongo Hawi Waziri Mkuu BALI Nakuhakikishia Kuwa Professor Sospeter Muhongo Ndiyo Rais MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Hiyo Mtake Msitake Mchukie Na Mpende Na NIMESHAWEKA HAPO NADHIRI YANGU KWENU KUWA KAMA YASIPOTOKEA HAYO YOTE NILIYOYAELEZEA HAPO NITAJITOKEZA HADHARANI WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE!