Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Wote uliowataja ni chaguo la jk sidhani kama watafanikiwa,nasikia 2005 mkapa pia alikuwa na machaguo yake lakini hakuna aliefanikiwa
 
Mahaba yako kwa Muhongo yamekuondoa akili.Rais na makamu huwa hawatoki upande mmoja wa muungano.Labda kama unazungumzia rais wa Tanganyika.
 
Wote uliowataja ni chaguo la jk sidhani kama watafanikiwa,nasikia 2005 mkapa pia alikuwa na machaguo yake lakini hakuna aliefanikiwa

Mnachohangaika Ni Nini Nyie? Nimepokea Posts Zenu Nyingi Sana Kuhusiana Tu Na Suala La Mimi Kuandika Hicho Nilichokiweka Hapo Cha Kumuhusu Membe Na Viongozi Wenu Mnaowataka Na Bahati Nzuri Nimeshaweka Nadhiri Kwenu Kuwa Kama Hiyo Listi Niliyoiweka Hapo Haitokuwa Hivyo Na Muhongo Hatopitishwa Basi MNIPIGE MAWE HADI NIFIE MBALI MKANIZIKE KWETU Kigali Nchini Rwanda. Subirini Muda Ufike Ndipo MNIHUKUMU Na Ndipo MTAJUA Ya Kuwa GENTAMYCINE Huwa SIBAHATISHI Na Najiamini Utadhani Mimi Ni Makamu Mwenyezi Mungu.
 
Mahaba yako kwa Muhongo yamekuondoa akili.Rais na makamu huwa hawatoki upande mmoja wa muungano.Labda kama unazungumzia rais wa Tanganyika.

Acheni Kukariri. Muhimu Ni Rais Bora tu Na Siyo Utaratibu Mnaoutaka Nyie Na Ndiyo Maana Hata Wakati Wa Kujamba Ipo Milio Mingi Ya Mijambo Lakini HARUFU Chafu Na Kali Ni Ile Ile Haibadiliki..........Itafakari Hii Vizuri!
 
Watanzania watakuua vipi wakati unatumia jina fake?
 
Kwani MUHONGO alishaenda kuomba msamaha kwa MENGI mpaka atake nafasi nyeti hivo?? Atapigwa fitna hatakatiza kokote hata huko jimboni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…