Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Kama bado mawe hukupigwa nakutafuta maana nimeshanunua trip kadhaa hapa
Ahadi ni deni
 
Ahahhahahahahhaha

Ukiona mwanaume unajinadi kuwa unaleta habari za jikoni hapa ujue anaweza kupewa hata Ndonga huko jikoni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu njoo tena utoe ufafanuzi wa ulichokiongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu njoo tena utoe ufafanuzi wa ulichokiongea

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hawezi kuja hata ukimpa Tshs milioni moja
Ndugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
View attachment 238167


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama utakuwa hai.
Mkuu hiki ni kipaji
 
Kipindi cha uchaguzi wajuaji ni wengi sana
 
Mods nyuzi za kizee mnaziachia hewani kizembe namuna hii,au mnalala huko lab?
Yan niachie nyuzi zangu very current mzifute afu mnaachia old school.
Mnakera na kijukwaa chenu

thA God thA bubbs!!
 
Vumilia 2020 si Mbali. Wewe pamoja na SEIF (Zanzibar) mtatufaaa.
 
Kuna mnyetishaji habar mmoja aliwahi kunambia kuwa huyu jamaa, kuna issues za kiespionage aliwahi kuzifanya huko canada mpaka akawa kwenye spy watchlist zao..!

Salama yake alikimbilia marekani akajiunga na chuo kimoja wapo, alipomaliza ndo akarudi huku na kujiingiza kwenye siasa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…