Bernard Membe: ACT - Wazalendo na CHADEMA tunaongea ili tusimamishe mgombea mmoja

Muungano ni mzuri ila hata tusipoungana Membe ndiye atapoteza zaidi kuliko CHADEMA
Na Membe kashaona upepo wake umekata ila pamoja na yote CHADEMA wasijisahau kama watu wasemavyo kachero huwa hastaafu kwani hata ACT chanzo cha kuanzishwa kwake ni ili iiuwe CHADEMA ndio sababu had leo najiuliza ilikuwa vipi Maalim akahamiaga ACT au naye ndiyo walewale nyuma ya pazia
Alitakiwa kuhamia wapi?!
 
Kama wana 54% wana shida gani ya kuungana na huyo mwenye chini ya 10%. Hii ni kazi ya Mmawia sawa ile zawadi ya Bus kwa Lisu.
Naona juzi nanyi mmepewa zawadi.
Screenshot_2020-09-17-22-19-17-1.jpg
 
Back
Top Bottom