Uchaguzi 2020 Bernard Membe achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

Abadilishe venue..Yeye Ni mwanaintelejensia asisubiri Hadi wazee wa kazi watimbe kuvuruga mkutano!
 
Atuombe radhi waTZ kwa kushiriki pakubwa kwenye wizi wa kura uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Membe huyu hana weight sasa na alikuwa anabebwa tu na nyota ya Kikwete hapo zamani
Jamaa enzi zake ilikua ukimkuta amekaa na vijana pale foreign affairs akijichekesha akijifanya yuko social/charming/smart/full kupaka piko kichwani aonekane bado kijana kijana,inshort alikua anam-copy mkwere lifestyle yake huku akijua yeye ndio next president.
 
Yaani Kati ya watu ambao wamekosa mvuto wa kisiasa ni huyu Jamaa!!

Sjui wengine mnamwonaje!!

Kwa lugha ya kikwetu watu kama hao huitwa, Ccm yantulile salala!! Hana mvuto kabisaaa
 
October ifike tu watu 'wajiteulishe'tuachane na haya mambo tuangalie maisha mengine..

Yajayo yanahuzunisha!
 
Yaani Kati ya watu ambao wamekosa mvuto wa kisiasa ni huyu Jamaa!!

Sjui wengine mnamwonaje!!

Kwa lugha ya kikwetu watu kama hao huitwa, Ccm yantulile salala!! Hana mvuto kabisaaa

Kama hana mvuto ndiyo ukate viuno na kupiga vigelegele vya ushindi wewe MATAGA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom