Asante mkuu nimekukubaliimekula kwao.......wanadhani bado ana influence kwa usalama wa taifa na uwezo wa kuamuru tangaza huyu....piga yule ......
Asante mkuu nimekukubaliimekula kwao.......wanadhani bado ana influence kwa usalama wa taifa na uwezo wa kuamuru tangaza huyu....piga yule ......
Ikiwa watashindwa, na wakishinda watakuwa wamepata somo kubwa mno kuliko hata la kujivua gamba.maji shingoni, ikulu hakukaliki, Igunga hakuendeki, wanapatwa na mfadhaiko
Yaani!! Vijana wa CDM mawazo DUNI KABISA!!!! Sasa Mkapa akienda kuhitimisha kampeni kuna ubaya gani. Mbona Mbowe, Slaa, etc wote wapo Igunga.
Labda ana hamu ya maovu yake yawekwe bayana ili anuke zaidi.Mkapa kafanya kosa kubwa saba kujirudisha kwenye siasa,
bora ule ukimya wake, hii inaweza kula kwake siku za usoni
najua amekwenda Igunga sio kwa sababu ya ccm ila Dr Kafumu kwa sababu
ni moja ya majembe lake kulima maliasi za hii nchi,
hizi fadhila wanazolipana ndilo anguko lao
Mkuu kuna fiorum za wapumbavu wenzako huko Michuzi Blog, maradii CCM, wajinga wenzio kule FB na kwingineko .Hapa tuko watu wa vyama vyote na si wote tunaopenda CCM hata kama mimi ni mwana CCM.JF kila mpenda mageuzi anakuja hapa na wala kujibu haya haina maana ni kijana wa Chadema punda wewe .Una post 17 unaleta akili za Kigwangala na Mkapa hapa ? Jifunze kwanza na kama huwezi tulia uone mijadala and stop name calling .Au unataka mie binafsi nikupigie yowe la Mwizi ufungiwe ?Jifunzeni kwenye mijadala vaeni uvumilifu names calling ni ujuha huu .Yaani kila anaye kataa mawazo ya CCM na matendo yao ni mwana Chadema ? Mbona kuna CUF nao wanakataa why you did not say vijana wa CUF ?
Mbona umekasirika umeambiwa ukweli siyo?
Mwache mwenzako atoe mawazo yake...huo ndio uhuru ulioletwa ccm..nyie cdm hata madaraka hamjapata mnaanza kuwanyima watu uhuru?
Itakuwaje mkipewa rungu..mungu aepushe!
Yaani!! Vijana wa CDM mawazo DUNI KABISA!!!! Sasa Mkapa akienda kuhitimisha kampeni kuna ubaya gani. Mbona Mbowe, Slaa, etc wote wapo Igunga.
Benny Mkapa atafika igunga jioni ya leo kuwind up kampeni za ubunge. Hii ni kwamba bado CCM haijaridhishwa au imekaaje wadau..??