Elections 2010 Beny Mkapa kwenda Igunga jioni ya leo!

Yaani!! Vijana wa CDM mawazo DUNI KABISA!!!! Sasa Mkapa akienda kuhitimisha kampeni kuna ubaya gani. Mbona Mbowe, Slaa, etc wote wapo Igunga.

Ni kioja kumtumia retired Presidaa kwa kampeni za ubunge jimbo moja la Igunga, Mkapa wala hawezi kufananishwa na Mbowe wala Dr Slaa (tamka S'aa) ni rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ccm kumtumia ni kioja kabisa, proves namna kilivopoteza mvuto
 
na uchaguzi ufanyike tupate matokeo, maana kila siku igunga igunga, mapes yanatumika tu huko
 
Hivi wewe unaekataa kukubali kwamba Mkapa kaenda kwa sababu maalum ziko kamili kweli?au ndo Masaburi,hujui ya kwamba asilimia kubwa ya wapiga kampeni waliokwenda Igunga ni wale waliokuwa na Mkapa?kuanzia kina Fatuma Kimario wa wakati ule,Mangula,Kina Mashishanga nkna hii ni dalili mbaya sana ni kwamba ndani pagumu na nje pagumu,na huyo Mkapa kaenda tu vile ni kijijini hivi huyo na alichotufanya kwenye Kiwira na kuruhusu EPA na mengineyo mengi ni mazuri?
Nendeni wote ikibidi magogoni muihamishie pale.
Lakini something is better than nothing,and this is long term plan hapo igunga usitegemee itakuwa hivyo 2015.
 
Back
Top Bottom