Elections 2010 Beny Mkapa kwenda Igunga jioni ya leo!

rito

Member
Apr 13, 2009
79
7
Benny Mkapa atafika igunga jioni ya leo kuwind up kampeni za ubunge. Hii ni kwamba bado CCM haijaridhishwa au imekaaje wadau..??
 
imekula kwao.......wanadhani bado ana influence kwa usalama wa taifa na uwezo wa kuamuru tangaza huyu....piga yule ......
 
Imekula kwake anafikiri anaweza kututukana kama alivyofanya jangwani 2010 kwa kuwaita wapinzani KOKOTO.Athubutu aone cha moto safari hii Jembe Mbowe kasema waandae magereza ya kutosha na risasi za kutosha haibiwi mtu
 
maji shingoni, ikulu hakukaliki, Igunga hakuendeki, wanapatwa na mfadhaiko
 
Yaani!! Vijana wa CDM mawazo DUNI KABISA!!!! Sasa Mkapa akienda kuhitimisha kampeni kuna ubaya gani. Mbona Mbowe, Slaa, etc wote wapo Igunga.
 
Mkapa kafanya kosa kubwa saba kujirudisha kwenye siasa,
bora ule ukimya wake, hii inaweza kula kwake siku za usoni
najua amekwenda Igunga sio kwa sababu ya ccm ila Dr Kafumu kwa sababu
ni moja ya majembe lake kulima maliasi za hii nchi,
hizi fadhila wanazolipana ndilo anguko lao
 
Yaani!! Vijana wa CDM mawazo DUNI KABISA!!!! Sasa Mkapa akienda kuhitimisha kampeni kuna ubaya gani. Mbona Mbowe, Slaa, etc wote wapo Igunga.

Mkuu kuna fiorum za wapumbavu wenzako huko Michuzi Blog, maradii CCM, wajinga wenzio kule FB na kwingineko .Hapa tuko watu wa vyama vyote na si wote tunaopenda CCM hata kama mimi ni mwana CCM.JF kila mpenda mageuzi anakuja hapa na wala kujibu haya haina maana ni kijana wa Chadema punda wewe .Una post 17 unaleta akili za Kigwangala na Mkapa hapa ? Jifunze kwanza na kama huwezi tulia uone mijadala and stop name calling .Au unataka mie binafsi nikupigie yowe la Mwizi ufungiwe ?Jifunzeni kwenye mijadala vaeni uvumilifu names calling ni ujuha huu .Yaani kila anaye kataa mawazo ya CCM na matendo yao ni mwana Chadema ? Mbona kuna CUF nao wanakataa why you did not say vijana wa CUF ?
 
Labda ana hamu ya maovu yake yawekwe bayana ili anuke zaidi.
 
Huyu mzee kweli hata napoiona picha yake huwa nahic kutapika, mkapa ndie ametufiksha hapa tulipo.Kama co mkapa na kikwete asingekuwa raisi nchi hii,ni babe wake. kashfa zote nzito zote za mabilion ni wakati wake hilli ni jizi tu.Ningesema mengi naona huyu kibaka ngereja keshachukuwa umeme,mura....!
 
Mkuu kuna fiorum za wapumbavu wenzako huko Michuzi Blog, maradii CCM, wajinga wenzio kule FB na kwingineko .Hapa tuko watu wa vyama vyote na si wote tunaopenda CCM hata kama mimi ni mwana CCM.JF kila mpenda mageuzi anakuja hapa na wala kujibu haya haina maana ni kijana wa Chadema punda wewe .Una post 17 unaleta akili za Kigwangala na Mkapa hapa ? Jifunze kwanza na kama huwezi tulia uone mijadala and stop name calling .Au unataka mie binafsi nikupigie yowe la Mwizi ufungiwe ?Jifunzeni kwenye mijadala vaeni uvumilifu names calling ni ujuha huu .Yaani kila anaye kataa mawazo ya CCM na matendo yao ni mwana Chadema ? Mbona kuna CUF nao wanakataa why you did not say vijana wa CUF ?

Mbona umekasirika umeambiwa ukweli siyo?

Mwache mwenzako atoe mawazo yake...huo ndio uhuru ulioletwa ccm..nyie cdm hata madaraka hamjapata mnaanza kuwanyima watu uhuru?

Itakuwaje mkipewa rungu..mungu aepushe!
 
CDM wakishika madaraka watashughulikia mafisadi na hawatamwoned mtu huruma
 
Yaani!! Vijana wa CDM mawazo DUNI KABISA!!!! Sasa Mkapa akienda kuhitimisha kampeni kuna ubaya gani. Mbona Mbowe, Slaa, etc wote wapo Igunga.

napata tabu sana kuwaza uwezo wa kufikiria wa hawa vijana. Who is Mkapa!?. Naona hakuna tatizo kwenda Mkapa ndio maana timu nzima ya cdm ipo Igunga. Tujaribu kuondoa ushabiki wa kivyama tunapotoa maoni.
 
Benny Mkapa atafika igunga jioni ya leo kuwind up kampeni za ubunge. Hii ni kwamba bado CCM haijaridhishwa au imekaaje wadau..??

Wakati ule sakata la DOWANS na RICHMONDI ndio limeanza kupamba moto na kumuhusisha Rais mstaafu kama mmoja wa wahusika wa karibu, Nakumbuka Ben Mkapa aliitisha kikao na waandishi wa habari, pale hakuruhusu maswali na hakusema maneno zaidi ya MIMI SIO MWANASIASA. Nashangaa kwa sasa Ushiriki wake katika siasa siku hadi siku unaongezeka, kama kasahau kauli yake naweza sema mzee huyu ANAZEEKA VIBAYA na Kama anakumbuka aliyoyasema basi KAFANYA MAAMUZI MAGUMU!
 
Wanaigunga wameelewa maana ya vyama vingi. kwamba wanauhuru wa kuchagua mtu anayefaa na si kwa vitisho kutoka kwa watawala.CCM wameona mbinu ya kutangaza cdm magaidi imeshindwa, kuwatumia waislam nayo imekwama ,kununua shahada imeshindwa,kuingiza sukari imeshindwa pia, hawana jinsi lazima mkapa atumike bahati mbaya hajui kuwa siasa za sasa na za wakati wake ni tofauti.Vasco dagama yeye anataka kutumia hotuba ya mwisho wa mweza kutoa data feki za uchumi na mengineyo wakati watumishi serikalini hawajalipwa mishahara
 
Back
Top Bottom